Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
WanaJF
Najua wengi itakuwa inawauma lakini ndo hivyo mambo yamekuwa
Baada chama kubwa kuzaliwa upya na kuwatema mafisadi, wananchi wengi wamefurahia uamuzi huo na sasa waandae maandamano ya kumpongeza Jk kwa kazi nzuri aliyoifanya
Nafikiri clouds fm watafanya kazi nzuri kuutangazia umma kwa mapokezi ya kihistoria kwa JK

Mnaomuunga mkono mna haki ya kuandamana hilo halina ubishi, andamaneni. Halafu nilifikiri serikali hii ni ya ccm. Watawachukulia hatu za kisheria mafisadi wote? Wote waliosaini mikataba ya kifisadi watashitakiwa wakiwemo waliohusika na IPTL??? Kazi kwenu mpongezeni nyoka kwa 'kujivua gamba shingoni'...!!!
WanaJF
Najua wengi itakuwa inawauma lakini ndo hivyo mambo yamekuwa
Baada chama kubwa kuzaliwa upya na kuwatema mafisadi, wananchi wengi wamefurahia uamuzi huo na sasa waandae maandamano ya kumpongeza Jk kwa kazi nzuri aliyoifanya
Nafikiri clouds fm watafanya kazi nzuri kuutangazia umma kwa mapokezi ya kihistoria kwa JK
Unapoona maandamano ya CDM unafikiri kuandaa kazi rahisi unaweza kujikuta mwenyewe siku ya maandamano muulize Shitambala atakusimulia.Hope clouds wataandaa haya maandamano
Unapoona maandamano ya CDM unafikiri kuandaa kazi rahisi unaweza kujikuta mwenyewe siku ya maandamano muulize Shitambala atakusimulia.