Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

Status
Not open for further replies.

CHADEMA

Political Party
Joined
Apr 13, 2013
Posts
495
Reaction score
2,540
Pamoja na Kamanda Kova kuongea jambo ambalo halieleweki la kuzuia Maandamano ya Kesho tarehe 21September 2013. Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamesisitiza Maandamano yako palepale na hakuna wa kuyazuia wala sababu ya kuyazuia haipo.

Kama ujio wa Obama wa siku moja tu ulifunga barabara kwa siku tatu sembuse Katiba yetu sisi Watanzania!!? Je Oboma ni bora zaidi kuliko Katiba yetu??

Kova na wenzako mkumbuke popote mlipojaribu kuingilia mambo ya kisiasa nchini mliua au mliwaacha watu vilema au yote mawili kwa pamoja. Tumieni busara ila uminyaji huu wa demokrasia hauwezi kukubalika hata kidogo wala damu ya Watanzania haiwezi kuchezewa kwa ulevi tu wa madaraka na ukosefu wa busara na hekima wa viongozi wa Jeshi la Polisi.

Maandamano yataanzia kwenye vituo viwili ambavyo ni Tazara na Ubungo kuelekea Jangwani yakiongozwa na viongozi wakuu wa vyama vyote vya Upinzani ambapo kutakuwa na Mkutano Mkubwa ambao haujawahi kufanyika katika historia ya siasa za nchi hii.

Taasis mbalimbali hapa nchini zitashiriki katika Mkutano huo ambazo ni pamoja na Jukwaa la Katiba, Shura ya Maimau, CCT,TEC, SHIVYAWATA, TGNP, Vyama vyote vya Upinzani vyenye usajili hapa nchini n.k

Maandamano yataanza saa tatu kamili asubuhi

NGUVU YA MAJESHI HAIJAWAHI KUSHINDA NGUVU YA UMMA
 
wazushi tu nyie, hayo maandamano haramu yamepigwa marufuku na jeshi la polisi
 
kova na vijana wako, tafadhali kuna wahuni wanataka kuleta za kuleta. andaa virungu, na maji ya washa washa ya kutosha
 
1186260_584710364920560_1104183302_n.jpg

Ngoja nijiandae kwa kula kitu yenye vitamin na ku triple CD4 kabla ya kuingia barabarani
 
Pamoja na Kamanda Kova kuongea jambo ambalo halieleweki la kuzuia Maandamano ya Kesho tarehe 21September 2013. Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamesisitiza Maandamano yako palepale na hakuna wa kuyazuia wala sababu ya kuyazuia haipo.

Kama ujio wa Obama wa siku moja tu ulifunga barabara kwa siku tatu sembuse Katiba yetu sisi Watanzania!!? Je Oboma ni bora zaidi kuliko Katiba yetu??

Kova na wenzako mkumbuke popote mlipojaribu kuingilia mambo ya kisiasa nchini mliua au mliwaacha watu vilema au yote mawili kwa pamoja. Tumieni busara ila uminyaji huu wa demokrasia hauwezi kukubalika hata kidogo wala damu ya Watanzania haiwezi kuchezewa kwa ulevi tu wa madaraka na ukosefu wa busara na hekima wa viongozi wa Jeshi la Polisi.

Maandamano yataanzia kwenye vituo viwili ambavyo ni Tazara na Ubungo kuelekea Jangwani yakiongozwa na viongozi wakuu wa vyama vyote vya Upinzani ambapo kutakuwa na Mkutano Mkubwa ambao haujawahi kufanyika katika historia ya siasa za nchi hii.

Taasis mbalimbali hapa nchini zitashiriki katika Mkutano huo ambazo ni pamoja na Jukwaa la Katiba, Shura ya Maimau, CCT,TEC, SHIVYAWATA, TGNP, Vyama vyote vya Upinzani vyenye usajili hapa nchini n.k

Maandamano yataanza saa tatu kamili asubuhi

NGUVU YA MAJESHI HAIJAWAHI KUSHINDA NGUVU YA UMMA

Mara nyingi nimeona polisi wakizuia maandamano lakini wakaruhusu mikutano. Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa watanzania, nawashauri mtumie mikutano tu badala ya maandamano ili tuepushe watu kuuawa pasipo sababu. Au na mkutano wamekataza?
 
[h=2]Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vyama vya upinzani ya Sept 21, 2013[/h]
Kamanda Kova kasema wanaruhusiwa kufanya mkutano ila wananchi waende kwa usafiri wao binafsi kuliko kufanya maandamano. Anasema intelejensia yao imeonyesha kutakuwa na usumbufu na kero kwa watu wengine.

Source: ITV

quote_icon.png
By James Laiser

Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya umoja wa vyama vya CUF, NCCR na CHADEMA siku ya Jumamosi yaliyokuwa yaanzie Tazara hadi Jangwani na Mwenge hadi Jangwani na sehemu mbalimbali kwa kuwa Polisi wamechunguza na kugundua kwamba italeta usumbufu kwa watu wengine na kwamba kwa kuwa lengo ni kufika Jangwani basi Viongozi wa vyama hivyo wawaambie wafuasi wao waende Jangwani bila Maandamano.

Alisema Suleman Kova kamanda wa kanda maalum Daresalaam.

Source: ITV HABARI SAA 2 usiku

​
 
hao viongozi wana mapembe marefu kiasi gani??? yatakatwa.
 
Pamoja na Kamanda Kova kuongea jambo ambalo halieleweki la kuzuia Maandamano ya Kesho tarehe 21September 2013. Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamesisitiza Maandamano yako palepale na hakuna wa kuyazuia wala sababu ya kuyazuia haipo.

Kama ujio wa Obama wa siku moja tu ulifunga barabara kwa siku tatu sembuse Katiba yetu sisi Watanzania!!? Je Oboma ni bora zaidi kuliko Katiba yetu??

Kova na wenzako mkumbuke popote mlipojaribu kuingilia mambo ya kisiasa nchini mliua au mliwaacha watu vilema au yote mawili kwa pamoja. Tumieni busara ila uminyaji huu wa demokrasia hauwezi kukubalika hata kidogo wala damu ya Watanzania haiwezi kuchezewa kwa ulevi tu wa madaraka na ukosefu wa busara na hekima wa viongozi wa Jeshi la Polisi.

Maandamano yataanzia kwenye vituo viwili ambavyo ni Tazara na Ubungo kuelekea Jangwani yakiongozwa na viongozi wakuu wa vyama vyote vya Upinzani ambapo kutakuwa na Mkutano Mkubwa ambao haujawahi kufanyika katika historia ya siasa za nchi hii.

Taasis mbalimbali hapa nchini zitashiriki katika Mkutano huo ambazo ni pamoja na Jukwaa la Katiba, Shura ya Maimau, CCT,TEC, SHIVYAWATA, TGNP, Vyama vyote vya Upinzani vyenye usajili hapa nchini n.k

Maandamano yataanza saa tatu kamili asubuhi

NGUVU YA MAJESHI HAIJAWAHI KUSHINDA NGUVU YA UMMA

mkuu hii ni taarifa au ni maoni yako? Sababu haielezi imetolewa na nani?
 
Mara nyingi nimeona polisi wakizuia maandamano lakini wakaruhusu mikutano. Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa watanzania, nawashauri mtumie mikutano tu badala ya maandamano ili tuepushe watu kuuawa pasipo sababu. Au na mkutano wamekataza?
cc.
james mbatia
prof lipumba
dj mbowe
 
Mara nyingi nimeona polisi wakizuia maandamano lakini wakaruhusu mikutano. Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwa watanzania, nawashauri mtumie mikutano tu badala ya maandamano ili tuepushe watu kuuawa pasipo sababu. Au na mkutano wamekataza?
me nahisi polisi huwa na hamu tu ya kuua kwakua huwa hawafanywi lolote,,,,,,
 
Pamoja na Kamanda Kova kuongea jambo ambalo halieleweki la kuzuia Maandamano ya Kesho tarehe 21September 2013. Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamesisitiza Maandamano yako palepale na hakuna wa kuyazuia wala sababu ya kuyazuia haipo.

Kama ujio wa Obama wa siku moja tu ulifunga barabara kwa siku tatu sembuse Katiba yetu sisi Watanzania!!? Je Oboma ni bora zaidi kuliko Katiba yetu??

Kova na wenzako mkumbuke popote mlipojaribu kuingilia mambo ya kisiasa nchini mliua au mliwaacha watu vilema au yote mawili kwa pamoja. Tumieni busara ila uminyaji huu wa demokrasia hauwezi kukubalika hata kidogo wala damu ya Watanzania haiwezi kuchezewa kwa ulevi tu wa madaraka na ukosefu wa busara na hekima wa viongozi wa Jeshi la Polisi.

Maandamano yataanzia kwenye vituo viwili ambavyo ni Tazara na Ubungo kuelekea Jangwani yakiongozwa na viongozi wakuu wa vyama vyote vya Upinzani ambapo kutakuwa na Mkutano Mkubwa ambao haujawahi kufanyika katika historia ya siasa za nchi hii.

Taasis mbalimbali hapa nchini zitashiriki katika Mkutano huo ambazo ni pamoja na Jukwaa la Katiba, Shura ya Maimau, CCT,TEC, SHIVYAWATA, TGNP, Vyama vyote vya Upinzani vyenye usajili hapa nchini n.k

Maandamano yataanza saa tatu kamili asubuhi

NGUVU YA MAJESHI HAIJAWAHI KUSHINDA NGUVU YA UMMA

Waheshimiwa sana Chadema, lengo lenu ni zuri sana kwa jamii. Nimemsikiliza vizuri sana Kamanda Suleiman Kova kwa kweli amezungumza mambo ya msingi na ametumia busara. Kutokana na logistics amewashauri kwamba mashabiki na wanachama waende Jangwani kwa kutumia Public Transport badala ya maandamano. Huko Jangwani fanyeni mkutano wenu. Ulinzi hautatosheleza idadi hiyo kubwa.

Mytake: Jaribuni hiyo option ya kukutana Jangwani badala ya kuandamana tunachotaka sisi wananchi siyo kuyaona maandamano bali ni kile mtakachozungumza pale Jangwani, tafadhali jamani msiharibu jambo hili la msingi.
 
"Hakuna mahali popote duniani jeshi liliwahi kushinda nguvu ya umma!"
 
KOVAAAAAAAAAAAAAAAA!
akili kumkicha nooooooo!
 
katika hayo maandamano haramu, tunataka kuwaona mbele akina mbowe, lipumba na mbatia na endapo virungu na mabomu yatalia wasiwakimbie wananchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom