Maandamano ya D9, yawe na Objectives chache strong

Maandamano ya D9, yawe na Objectives chache strong

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,539
Reaction score
10,244
Kuandamana bila objectives ni kupoteza muda.

Tunaandamana ili tu-achieve nini??
Mambo gani tunataka yatekelezwe??

Nashauri, Gen Z tuset Malengo machache ambayo ndo sababu ya sisi kuingia barabarani kutaka yafanyiwe kazi na serikali au jamii.

Ukiangalia lile bango la kuandamana Mo29, halikuwa na clear and measureble objectives.

Mfano lilikiwa linasema sababu ya kuandamana ni:-

Utekaji
Uchaguzi usio haki
Ongezeko la kodi
Ukiukwaji wa haki, n.k.

Hizo ni sababu, JE MALENGO YA KUANDAMANA YALIKUWA NINI??

Mfano, kwa mijibu wa bango hilo la mo29, katika yote yaliyoandikwa pale, mambo mangapi yalibadilika au yalitekelezwa?? Kwa mujibu wa bango hilo, tunaweza kupima mafanikio ya maandamano ya mo29???



Hata bango la D9 naona bado limeendelea kurudia makosa hayo.
Liko too general. Linasema tutabeba picha za wapendwa wetu, hatuchomi kitu chochote, utulivu lakini sio wanyonge, SO TUNAANDAMANA KUACHIEVE NINI????

Guys, lets be clear, lets state sababu za kuandamana, kisha tuset 1, or 2 clear objectives ambazo ndo tutaandamana kuzidai zitekelezwe na kwamba, bila hizo objectives kutekezwaz tutaendelea kuandamana hata kwa mwaka mzima

MFANO, bango liwe hivi:-

"Kutokana na:
ikiukwaji wa makusudi wa katiba,
utekaji wa raia,
ufisadi serikalini,
uchaguzi ambao haukuwa wa huru na wa haki, na
Mauaji ya raia

TUNATAKA
1 Raisi na serikali yake wajiuzulu
2 Iundwe serikali ya mpito
3 Hiyo serikali ya mpito ilete katiba mpya

BILA HAYO KUTEKELZWA MAANDAMANO YATAENDELEA HATA KWA MWAKA MZIMA"

Bango lisomeke hivyo, raia wote wajue hivyo, serikali wajue hivyo, na dunia ijue hivyo

Then tuingie barabaarani kwa maandamano ya amani uone mtiti wake.

GEN Z, lets revise bango la maandamano ya D9.
TUSIANDAMANE ILIMRADI TUNAANDAMANA, LETS BE CLEAR WITH OBJECTIVES.

Nawasilisha
 

Attachments

  • Screenshot_20251122-211915.jpg
    Screenshot_20251122-211915.jpg
    73 KB · Views: 11
Back
Top Bottom