GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
All in all, na as a matter of fact ni kwamba hiyo njia maandamano yalipopita hakuna msikiti hata mmoja kulia wala kushoto, at least I dare to say so! Mtatoana macho bure na hadithi za kufikirika
Ni kweli hakuna au unataka kuzima tu huu mjadala ? mie na uhakika ipo misikiti na makanisa
mbona misikiti inapiga makelele na vipaza sauiti saa kumi alfajiri watu wamelala, wagonjwa wamepumzika na wengine wenye imani zao wakiwa wanasali majumbani mwao kimya kimya na hivyo kusumbuliwa.... mbona hatusemi
Masikini tanzania inateketea kwa udini....ee mungu tunusuru na hili balaa
Hii ni point muhimu sana kwa Chadema hususan katika kujivua gamba la udini..
Na ni lazima kukumbuka kuwa hii ni lazima iwekwe wazi katika katiba yenu kuhusu freedom of warship na sio freedom of believe.
Kwenye red hapo mkuu! inabidi uwekeze kidogo kwenye lugha, hela unayoendea net na kuja kupost upupu humu nenda kasomee English Course
CDM katu haitakaa ichukue madaraka ya kuiongoza nchi hii, hata utimilifu wa dahali!
Should that happen (God Forbid). Kila mtu anoe panga lake. Maana kwa mwenendo, maneno na vitendo vyao, CDM ni wabaguzi wa kidini.!

Yaani thread hii imejaa stupid response than ever. Ukisoma comments na lengo la yule aliyepost basi kazi ya kuikomboa Tanzania si rahisi. Jamaa ameomba na wao wapate fursa ya kuhudhuria. Watu wameng'ang'ania kipoint cha kelele tu. Hivi wanasahau kuwa hao waislam walipiga kura 2010 na watapiga kura 2015. Hivi ni ujumbe gani mnaowapelekea? Mwanakijiji aliwahi kusema, CDM wajisafishe kwenye hili, lakini wao wamekaa wanafanya masihara. Wakishtuka itakuwa 2015 na sumu inayoenezwa hapa itakuwa imeshaenea. Kama ni gamba halitavulika. Waislam waliopiga kura 2010, wanaweza kuamua vinginevyo maana imani ni kitu sensitive. Yaani watukanwe weeee halafu mwisho wa siku wanaombwa kura! Ohh
Kwenye red hapo mkuu! inabidi uwekeze kidogo kwenye lugha, hela unayoendea net na kuja kupost upupu humu nenda kasomee English Course
Hii ni point muhimu sana kwa Chadema hususan katika kujivua gamba la udini..
Na ni lazima kukumbuka kuwa hii ni lazima iwekwe wazi katika katiba yenu kuhusu freedom of warship na sio freedom of believe.
Wanajisumbua tu cdm, siku ya wakishika nchi tutamalizana kwa ubaguzi na udini.du!
Wataanza kufuta adhana kwanza hatimaye kufunga jela masheikh
Tuombe cdm iishie kuwa chama lalamishi (complain side) wanafaa sana huko.
Ndio maana mie siku zote huwa nasema wafuasi na wanachama wa CDM akili zao ni fupi sana mnapinga. Kwa mujibu wa taratibu za kiislamu adhana ni miongoni mwa ibada zao, wala sio kelele. Mkuu jielimishe acha bla bla
Ningependa kuona CHADEMA wanaheshimu uhuru wa wenzao kuabudu.
Lakini pia ningependa tuone kwamba imamu anavyoadhini na kutupigia kelele tusioamini naye anatakiwa kuheshimu uhuru wetu wa kutoamini.
Uhuru wa kuamini hauna maana kama haujumuishi uhuru wa kutoamini. Ukitaka kutosumbuliwa kwanza jiangalie wewe mwenyewe usiwe msumbufu.
And the same goes to the churches and their bells too.
Kama unaruhusu makanisa na misikiti kupiga kelele then huna basis ya kukataza wanasiasa wasipige kelele. Kama hutaki kelele kataza kelele across the board.