Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Mkuu, unalipa kodi kwa serikali au kwa CHADEMA?....Kodi zetu ndio zinateketea hivo...
CCM wananunua mabango nje ya nchi huko South Africa kwa hiyo wanapeleka fedha zetu huko, CHADEMA wanaacha fedha humu humu nchini kwa kuwapa kazi waandaaji wa mikutano na logistic nyingine. Tofauti ipo sana tu!....Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo...
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Uchumi wao unamudu anasa hizi za kisiasa. Marekani wanachangishana sana tu kama harusi za hapa kwetu. Sisi tunagharamia siasa kwa kuzitesa huduma muhimu za JAMII. Amkeni Watanzania tuandamane kuifuta ruzuku kwenye vyama hivi.
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Hali ya amani iko poa mpaka muda huu, askari wapo wa kutosha mji mzima, watu wanaendelea kumiminika kwa utashi wao kwenda kwenye uwanja wa mkutano ambao upo eneo linaitwa ccm, magari mawili fuso yenye majukwaa yapo yanaendelea kuandaliwa na mzika ukiendelea kuburudisha halaiki iliyopo. Kuna shule jirani hapa watoto walikuwa darasani wamegoma kuendelea kusoma wanataka waje uwanjani, naona mwl anawarudisha darasani lakini watoto wanadinda hao wanakimbia kuja uwanjani.
Halmashauri ipi hiyo. Mnatakiwa kufanya zaidi ya hizo halmashauri zenu. CHADEMA ni ya WATANZANIA wote. Natamani nisilipe kodi nchi hii ambako fedha zinagharamia siasa na wanasiasa kupita kiasi.
Nalipa kodi kwa serikali. Serikali inawapa CHADEMA karibu 1bn kila mwezi kama RUZUKU. Dr Slaa alifanya kazi kubwa mwaka jana kuipandisha ruzuku hii.Mkuu, unalipa kodi kwa serikali au kwa CHADEMA?
CCM wananunua mabango nje ya nchi huko South Africa kwa hiyo wanapeleka fedha zetu huko, CHADEMA wanaacha fedha humu humu nchini kwa kuwapa kazi waandaaji wa mikutano na logistic nyingine. Tofauti ipo sana tu!
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Fanyeni yale ambayo CCM hawafanyi. Kwa mfano baada ya maandamano ya leo mngekabidhi madawati 500 jimbo la Mh Sugu. Mnaandamana tu utadhani NGO!Hizo zingine hatuna mamlaka nazo mkuu.. [COLOR="yellow"[COLOR="#ff00ff"]]chama cha majambazi wamezikalia hizo halmashauri na bajeti za chai na vitumbua[/COLOR][/COLOR] ndio maana hatuwezi kuwasaidia wananchi walioko kwenye hizo halmashauri..
njia pekee kuwasaidia wananchi hao ni maandamano ambayo yanafungua macho ya wasioona ili come 2915 wafanye uamuzi sahihi
nawe pia unatakiwa kuhamasisha babu, bibi na shangazi kule ushirombo wafunguke macho kwani wanatazama bali hawaoni..
Lets awake our fellow countrymen.. tutakuja kujibu nini kwa wenetu? nchi inahujumiwa hii
Nalipa kodi kwa serikali. Serikali inawapa CHADEMA karibu 1bn kila mwezi kama RUZUKU. Dr Slaa alifanya kazi kubwa mwaka jana kuipandisha ruzuku hii.
acha kuongea pumba wewe, bila chadema usingekuwa hapo ulipo.
Serikali ya CCCM imekuwa ikiwapatia CDM mamilioni ya shilingi kama ruzuku ya chama hicho kujijenga kidemokrasia na kuleta chachu ya maendeleo nchini lakini CDM wamekuwa wakitumia fedha hizo za walipa kodi kwa kutalii mikoa kadhaa huku wakipoteza nguvu ya rasilimali watu, nchi hii inahitaji wachapakazi na wenye kuleta chachu ya maendeleo na si watalii.
ndiyo maana we ni gamba jipya linatakiwa likwanguliwe ili angalau uwe na ufahami.Serikali ya CCCM imekuwa ikiwapatia CDM mamilioni ya shilingi kama ruzuku ya chama hicho kujijenga kidemokrasia na kuleta chachu ya maendeleo nchini lakini CDM wamekuwa wakitumia fedha hizo za walipa kodi kwa kutalii mikoa kadhaa huku wakipoteza nguvu ya rasilimali watu, nchi hii inahitaji wachapakazi na wenye kuleta chachu ya maendeleo na si watalii.