Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

big up CDM, tuwape elimu wananchi waondokane na ulaghai wa 'Chama cha Magamba'
 
ndugu wildcat, japokuwa umeamua kuchakachua jina la chama, ila ujue wazi kuwa "maandamano" pia ni sehemu ya "demokrasia"..karibu tuandamane, tutekeleze demokrasia yetu:israel:

Tuandamane kwa gharama ya nani? Tufute ruzuku kwenye vyama vya SIASA. Inatutesa.
 
Mhe. Regia, Tunawatakia heri. Natamani ningekuwa mbeya nikishiriki. tutashukuru tukipata picha mara kwa mara kila inapobidi!
 
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.

Nenda halmashauri zinazoongozwa na CDM ukaangalie jinsi CDM ilivyofanya kazi hasa hilo eneo nililoliwekea red hapo juu sio kubwabwaja tu kwa sababu unajua kutumia keyboard, nyie mnachojua si kujenga tundu la choo kwa milioni 400?

hata kama unafaidika na mfumo uliopo basi jaribu kumuogopa mungu wako acha unafiki
 
Sitakikuamini kwamba so far hujaona positive impact ya maandamano mkuu. Kama ndivyo basi hii ni hatari kubwa kwani I'm sure tukienda hata Mirembe pale tukampick mgonjwa mmoja na kumwuliza nini faida mojawapo ya maandamano ya watanzania chini ya Chadema atakuwa na jibu sahihi.
 
Tuandamane kwa gharama ya nani? Tufute ruzuku kwenye vyama vya SIASA. Inatutesa.
Thubutuu! Ufute ruzuku CCM watakubali wakati ndo moja ya mapato yao wanagawana na kununuliana mavx au hukusikia mwenyekiti wenu cku ile pale jamhuri Dom alisema mapato ya chama yamepungua coz ruzuku imepungua sababu ya idadi ya wabunge kupungua hata ikifutwa CDM itaenda front tu coz mmeona itawarudi ndo mnataka kuifuta ruzuku, hela za chai, mavx, marupurupu ya wabunge, zote hizo ni mzigo kwa watz
 
Nenda halmashauri zinazoongozwa na CDM ukaangalie jinsi CDM ilivyofanya kazi hasa hilo eneo nililoliwekea red hapo juu sio kubwabwaja tu kwa sababu unajua kutumia keyboard, nyie mnachojua si kujenga tundu la choo kwa milioni 400?

hata kama unafaidika na mfumo uliopo basi jaribu kumuogopa mungu wako acha unafiki
Halmashauri ipi hiyo. Mnatakiwa kufanya zaidi ya hizo halmashauri zenu. CHADEMA ni ya WATANZANIA wote. Natamani nisilipe kodi nchi hii ambako fedha zinagharamia siasa na wanasiasa kupita kiasi.
 
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.

😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
 
Halmashauri ipi hiyo. Mnatakiwa kufanya zaidi ya hizo halmashauri zenu. CHADEMA ni ya WATANZANIA wote. Natamani nisilipe kodi nchi hii ambako fedha zinagharamia siasa na wanasiasa kupita kiasi.

Hapo umeongea point
 
Tuandamane kwa gharama ya nani? Tufute ruzuku kwenye vyama vya SIASA. Inatutesa.

Wewe wildcard aka gharasha, acha kujishusha kiwango chini hata ya jeykey na malaria Sugu. Kabla ya kufuta ruzuku kwanza inatakiwa ukiambie chama chako kifute serikalini furniture allowance ya milion 30 kwa kila mfanyakazi kuanzia grade d kila mwaka kabala ya kufuta ruzuku kwa vyama vya siasa. Kheli ruzuku inayotumiwa kuamndamana kuliko kuua albino sawa?
 
Halmashauri ipi hiyo. Mnatakiwa kufanya zaidi ya hizo halmashauri zenu. CHADEMA ni ya WATANZANIA wote. Natamani nisilipe kodi nchi hii ambako fedha zinagharamia siasa na wanasiasa kupita kiasi.

Ukienda marekani ndiyo utashangaa njisi wanatoa fedha kwa wangombea na uingeleza ndiyo kabisa labda kimbilia Iran au Saud Arabia
 
Kila la kheri. Tunatarajia hatakuwepo mwana Mbeya mtakayemtoa kafara kuyapa umaarufu maandamano yenu.
 
Thubutuu! Ufute ruzuku CCM watakubali wakati ndo moja ya mapato yao wanagawana na kununuliana mavx au hukusikia mwenyekiti wenu cku ile pale jamhuri Dom alisema mapato ya chama yamepungua coz ruzuku imepungua sababu ya idadi ya wabunge kupungua hata ikifutwa CDM itaenda front tu coz mmeona itawarudi ndo mnataka kuifuta ruzuku, hela za chai, mavx, marupurupu ya wabunge, zote hizo ni mzigo kwa watz

Mkitaka kuindoa CCM madarakani hata kesho, ondoa ruzuku. Vinginevyo naona kama CHADEMA nao mmejiunga kwenye hili jinamizi la kutafuna fedha zetu kwa staili ya maandamano yasiyo na tija. Maandamano yafanywe na WANANCHI wenyewe sio haya ya kuhalalisha matumizi ya RUZUKU.
 
Ukienda marekani ndiyo utashangaa njisi wanatoa fedha kwa wangombea na uingeleza ndiyo kabisa labda kimbilia Iran au Saud Arabia

Uchumi wao unamudu anasa hizi za kisiasa. Marekani wanachangishana sana tu kama harusi za hapa kwetu. Sisi tunagharamia siasa kwa kuzitesa huduma muhimu za JAMII. Amkeni Watanzania tuandamane kuifuta ruzuku kwenye vyama hivi.
 
Hali ya amani iko poa mpaka muda huu, askari wapo wa kutosha mji mzima, watu wanaendelea kumiminika kwa utashi wao kwenda kwenye uwanja wa mkutano ambao upo eneo linaitwa ccm, magari mawili fuso yenye majukwaa yapo yanaendelea kuandaliwa na mzika ukiendelea kuburudisha halaiki iliyopo. Kuna shule jirani hapa watoto walikuwa darasani wamegoma kuendelea kusoma wanataka waje uwanjani, naona mwl anawarudisha darasani lakini watoto wanadinda hao wanakimbia kuja uwanjani.
 
Mh Regia,
Ruzuku ya CHADEMA kwa mwezi ni sh ngapi sasa? Nadhani mnakaribia 1bn. Kabla uchaguzi mwaka jana mlikuwa mkipata zaidi ya mil300.
 
Back
Top Bottom