Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.

This is another crap
 
Nyie ndio mliotumwa na Msekwa na Mukama kuja kuleta pumba JF (Join date 23rd March 2011).
Mbona katika post yako ndo umeandika p**** siyo lazima uandike p**** unaweza meza mate tuu ukapita ukikuwa utaweza ongea cha maana tulipita huko
 
najua inakuuma sana ukisikia wananchi wanaenda kuelezwa ukweli na uhalisia wa mambo yanavyoenda hapa nchi....:A S-baby::A S-baby::A S-baby:wananchi wameshachambua pumba na mchele na wamejua ccm chama cha magamba kimeoza...kama huamini tafuta picha za leo uone watu walivyojazana....muda wa mabadiliko umefika
 
The following user groaned Gamba Jipya for this useless thread
genekai (6/5/2011)
 
Ziara ya Kufanya Maandamano inayofanywa na CDM nyanda za Juu Kusini sasa imedhihilisha kuwa CDM ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano! CDM imekuwa inatangazia Watanzania kuwa tutakua na Maandamano Mikoa ya Kusini pasipo kutoa hoja ya Msingi ya Kukusanya watu zaidi ya Maandamano! Yani kina wahamasisha watu waende kuandamana! Hoja hapa ni Kuandamana! Kwenye Kikao Cha Kamati Kuu ya CDM iliyo kaa wiki iliyopita kulikua na mkanganyiko kwa wajumbe kutanguliza neno maandamano kama agenda ya kwenda Mikoa ya kusini! Walio tetea zaidi ni Mbowe,Slaa na Lema na ndio vinara wa maandamano! Hakuna ubishi sasa CDM ni Chama cha Demokrasia na Maandamano! Neno maendeleo limepata natural death kutokana na mwenendo wa sasa wa CHADEMA!


Nadhani unaudhiwa zaidi na mahudhurio ya maandamano kuliko wanachozungumzia. Ungetambua kwanza kuwa haki ya kukusanyika imeainishwa katika Katiba, ungeona kuwa kuhudhuria au kutohudhuria maandamano ni CHAGUO halali!!! Na kama wewe si msemaji katika mikutano au maandamano hayo - huna hata haki ya kuchagua kisemwe nini. Jitambue!!!

Heshimu chaguo halali la mtanzania yeyote, bila shaka utakuwa bora kuliko ulivyo hivi sasa.
 
Fanyeni yale ambayo CCM hawafanyi. Kwa mfano baada ya maandamano ya leo mngekabidhi madawati 500 jimbo la Mh Sugu. Mnaandamana tu utadhani NGO!

Naona watoto wa wazee wa kujivua magamba mnazidi kuwa wengi, karibuni!
 
Mimi sijaona kuna nini cha kushangaza hapo maana,maandano ni sehemu moja wapo ya mabadiliko kutoka katika vifungo vya muda mrefu vya wanyonyaji dhidi ya wanaonyonywa.So tafsir ya maandamano ni moja wapo ya sehemu ya kuleta demokrasia na kuwafanya waliosinzia waamke na kujitambua.Sasa yawezekana wewe ndugu upeo wako wa kufikiri ni mdogo,jaribu kufikia kwa umakini kabla hujaanza kuvichosha vidole vyako kwa kitu kitakachokudhalilisha.
 
sioni picha sasa,au hamjaenda na kamera huko?
 
Kwa wanafunzi mmekwisha wawini. Matawi mnafungua sana kisha mnayatelekeza. Ruzuku yote kwenye maandamano na uendeshaji makaomakuu!

Kwa taarifa yako karibu matawi yote ya CCM yatafungwa vyuoni.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ndiyo matumizi sahihi ya ruzuku,vyama vingine wanatumiaje?,kama huwezi kupingana nao ungana nao,huwezi kuzuia mabadiliko hata kama hayakuvutii wewe binafsi
 
Watu hamna mkuu, kuna watu kama 100 wapewa pesa kidogo pale stendi ndio wanaokoa jahazi

Wewe unaumwa!!!!!!!!!Ona unavyojiabisha. Kweli wewe upo upo tu-Ona hawa ni watu 100??? labda sijui hesabu?? au unajifurahisha na wapambe wako???

attachment.php
 
Mbona katika post yako ndo umeandika p**** siyo lazima uandike p**** unaweza meza mate tuu ukapita ukikuwa utaweza ongea cha maana tulipita huko

Kijana kazi ya Propaganga huwezi, mimi nataka nikupe japo kazi ya kuwapikia na kuwapeleka josho mbwa wangu....
Kwa maelezo zaidi ni PM
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
Ipi bora, ziteketee kwenye bara bara zetu humu ndani au ziteketee angani kila mara kwenda kwa Obama! Any way asyejua maana ya maandamano haambiwi!
 
Mkutano umemalizika salama. Yaliyojiri, kulikuwa na mabango yaliyokuwa yanabandikwa na kusambazwa katika maeneo mbalimbali ya jiji la Mbeya yakikituhumu Chama Cha CDM kuwa ni cha Wachaga na ni cha kidini, na kwamba wananchi wa Mbeya wanahitaji maendeleo na si maandamano. Makaratasi mengi yalikamatwa na viongozi wa chama. Hiyo ilikuwa ni propaganda, haijulikani nani aliianzisha.

UTAIPENDA TU!
Hata kama. Hutaki, haina sababu ya kupoteza muda na kuanza kuleta longolongo...
CCM inajizika yenyewe! Hata kama CDM ni chama cha kidini na Kikabila poa tu kwani hata mimi nina dini yangu na Kabila langu...
KITAELEWEKA TU.. Ingawa bosi wenu alisema vyama vya upinzani ni vya msimu!
 
Kama maandamano ya CDM ni matumizi ya ruzuku na kodi, je mizunguko waliofanya Magamba jazz band, mikoani Nape akiimba kuwa wamewapa mafisadi siku 90, na juzi Mukama akakana kuwa hakuna aliepewa siku ni nini? rudi kwa aliekutuma, ukajipange upya!
 
hakuna watu mi niko mbeya hapa mbona mnakua wagumu kuelewa nyinyi watu? hamna kitu chadema kwisha kazi watu wamechoka na propaganda za kitoto

Hiyo User Name
Inakudefine kuwa wewe ni mtu wa aina gani.
Wataalamu wa Kiswahili hivi nini maana ya neno KALAGABAHO???
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom