Mkuu hayo ni zaidi ya vitoa machozi. Ndiyo yalikatisha uhai wa Mwangosi.WaBongo bwana ati Vitoa Machozi vinaitwa "Mabomu"!!!!
Mkuu hayo ni zaidi ya vitoa machozi. Ndiyo yalikatisha uhai wa Mwangosi.WaBongo bwana ati Vitoa Machozi vinaitwa "Mabomu"!!!!
ukiwa chadema na akili zinavia
hebu tupe chanzo cha habari yako
Unaongelea katiba ipi mkuu.Ya Warioba au ya CCM.Maana huu uasnii wanaoufanya sasa hivihao ndo wana ufahamu wa haki zao, wengine mpaka katiba ianze kutumika ndo watazinduka
mbona nimempigia mdogo wangu hapo bunda anaishi maeneo ya machinjioni amesema hakuna vurugu yeyote.