Maandamano ya CHADEMA Bunda mabomu yapigwa

Maandamano ya CHADEMA Bunda mabomu yapigwa

nimepita Bunda jana, sikuamini kuwa ndio anapotoka Wassira, yaani pamoja na kelele zote zile kumbe kashindwa kuweka hata maji?



Hata mwigulu iramba hewa kabisa watu wameezeka nyumba na matope juu ya paa na majani yameota nilimdharau sana
 
masihara masihara nch inaelekea pabaya, japo vyombo vya habari wame pewa mpunga wasitoe ripoti zozote kuusu maandamano.
 
Ni mapema kujua hiyo maana kila mtu amekimbia, labda baadae kidogo ndo tumeanza kurudi eneo la tukio, lakini wananchi wanaendelea kujikusanya kwenye maeneo tofauti tofauti ili waendelee na maandamo ambayo kwa sasa hayatakuwa na sehemu ya kukutania, ili mradi kila mtu amalize kiu yake ya kuandamana. Changamoto ninayoiona kwa aina hii ya maandamo ni kuwa polisi ambao wana gari moja na maandamo sasa yanaanzia sehemu nyingi nying tofauti tofauti na yanakomalizikia kila kundi linajua lenyewe!!
Hii strategy ndio inapaswa kuwa kila mtu au kwa vikundi aandamane kwa kadri anavyopenda kusambaza ujumbe
 
cha kufurahisha ni kwamba pamoja na vitisho vya polisi lakini wananchi wamewapuuza vibaya sana !
 
WaBongo bwana ati Vitoa Machozi vinaitwa "Mabomu"!!!!
 
Duh! Nawonea huruma POLISI hasa vijana wangu akina Shaby, Omary na God...huko uraiani mnakoishi jioni mtarudi kweli maana hamna makazi yenu rasmi zaidi ya kupanga uraiani.
 
nimepita Bunda jana, sikuamini kuwa ndio anapotoka Wassira, yaani pamoja na kelele zote zile kumbe kashindwa kuweka hata maji?

bunda ndio wilaya maskini kuliko zote tz ...pamoja na kuwa ipo pembeni mwa ziwa victoria

 
Wanachama wa chama cha CHADEMA wapigwa mabomu baada ya kufanya maandamano katika mtaa wa @Nyasura center hapa mjini Bunda mkoani Mara. Watu kadhaa wamekamatwa na kupelekwa polisi.


Mbona kimya...nawe umekamatwa?
 
Bunda ndio kielelezo cha wanyonyaji yaani serikali imesahau wilaya kabisa ndio maan wananchi wanauchungu sana wakiona watu kama Sitta Kikwete wanachezea katiba fanyeni kweli bwana
 
Back
Top Bottom