Omulangira
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 230
- 29
Pamoja na Polisi kuzuia maandamano nchi nzima, CHADEMA Manispaa ya Bukoba. imeandaa maandamano ya Amani ya kupinga matumizi mabovu ya kodi za Wananchi. Yanayoendelea katika Bunge la Katiba.
Maandamano hayo yanafanyika tarehe 24/9/2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka kieleweke hayana mwisho na yatakuwa yakitokea kata zote 14 hadi makao makuu ya Chama. Maandamano ni haki ya msingi kikatiba.