pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni ninoLeo nimeona CCM wakifanya Maandamano Singida wakiwa Katika Ziara ya keelezea Kujivua Gamba
Kwa Nilichokiona Katika yale Maandamano hakika naweza Sema kwamba Kweli CCM ni Chama Kikongwe na Wanachama wake wengi ni Vikongwe na Kutokana na Hilo KINAELEKEA Kaburini.
Hayo ni mawazo mafupi ya mfa maji
Buriani CCM
Ni kweili sisiemu kitaalam it is gasping,tutazika si muda mrefu,kwa haeri sisiemu buriani magamba!
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
HUKU NI KuSHUSHA kabisa heshima ya forum hii, CCM wanawapokea Sekretarite yao kesho sasa hayo maandamano ya wapi? Khaaaaaaa inatia kichefuchefu unatufurahisha hapa kwa uongo na uzushi. Kwaheri CCM, RIP CCM
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!
Nimewaona kwenye ITV. Badala ya kuonesha nguvu ya umma sumbawanga wakaonesha watu wasizidi mia Singida. Walikuwa wanaandamana kuunga mkono maamuzi na NEC kuvua gamba
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku
Asante sana Gurudumu, Nimegundua kwamba wana CCM wa JF wako Busy na Pipoz power hata hawafuatlii Porojo za Kujivua Gamba
CCM NI CHAMA KINACHOKIMBILIA UMAUTI KWA KASI YA AJABU