Maandamano ya CCM Moshi Mjini


Ww umekunywa viroba, ww mwenyewe unamwita mjanja, ss shida iko wapi?
 
Ingekuwa maandamano yamefanywa na UKAWA, hivi sasa tungekuwa tunahesabu wafu na majeruhi.

Hawa ni walewale walikuwa wakisema maandamano ni kupoteza muda. Wamegeuka kuwa wapinzani sasa.
 

Muwe mnapunguza unafiki kidogo.
 

Safi sana.
 
Ww umekunywa viroba, ww mwenyewe unamwita mjanja, ss shida iko wapi?

monges wewe akili yako fupi sana, yaani unadhani ujanja ujanja wa mjini unaweza kukusaidia kupata ubunge, tena ubunge wa Moshi mjini?

Ustaarabu na uvumilivu ndio silaha ya kufanikiwa kwenye siasa.
Davis Mosha analeta uhuni wa Dar akidhani atapata ubunge wa Moshi, katika hilo asahau.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia wameandamana bila kibali lkn wamepewa ulinzi na geshi la poorisi
 

Ujumbe wako Maxence Melo
 
Ikumbukwe mkuu wa mkoa hana malaka wala majukumu yoyote ya kujibu mastaka au malalamiko ya kisiasa kwa sababu nafasi yake c ya kisiasa ...ila huyu amosi makala aliyeshindwa kwa kura za maoni huko kijijin kwao anajidai anajua kujibu hoja mjini..tutamchomoa ka kamasi puani
 
Huo ni ubaguzi kama wachaga wameenea, Waha, Wapare, Wanyakyusa, Wasukuma na makabila mengine wako wapi?
 
Kitu nilichokigundua watu wengi wa humu ndani wanatokea amma wa asili ya Arusha na KLM/Moshi




Ondoa huu uchafu wako wa ukabila hapa! Hizi ndio akili za KiCCM!. Kwa taarifa tu mimi ni Mpemba fyoko! Ukitaka uthibitishe basi nenda kaburini Kamuulize marehemu Omari Ali Juma (Makamo wa Rais JMT awamu ya Mkapa) . Linapokuja suala la Utaifa mimi ni Mtanzania kwanza mwenye kutaka mabadiliko. Hata afufuke Nyerere sasa hivi mara hii CCM out!
 
👆​👆 ​dalili za ccm kuwa chama cha upinzani zaonekana huko moshi. waandamana kuelekea kwa mkuu wa mkoa kuilalamikia chadema.😜😜
 
Mosha atosha mwa moshi mjini ntampa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…