Maandamano ya BAVICHA nchi nzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya BAVICHA nchi nzima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGAMBA MATATU, May 22, 2012.

 1. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Ikiwa ni siku chache baada ya kutolewa tamko zuri la Mwenyekiti wa BAVICHA kuhusu tamko la shibuda mbele ya mkutano wa ccm,Heche alisema kuwa Shibuda alikosea kutangaza kugombea urais kupitia vikao vya CCM ambapo ni kinyume na katiba ya Chadema,,,imetokea amejitokeza mwanadada Juliana Shonza ambaye ni m/mwenyekiti wa BAVICHA na kupingana hadharani na kauli ya bosi wake,,,

  Je,huyu dada ameanza kutumiwa?
  na kama ameanza kutumiwa ni kwa maslahi ya wananchi, Shibuda au CCM?

  Kimsingi si kuona umhimu wa huyu dada kujitokeza leo mchana kweupe na kumpinga bosi wake wakati anajua huu si muda wa BAVICHA kulumbana badala ya kukijenga chama kupitia BAVICHA,,

  JE,huyu dada tangu achaguliwe kuwa m/mwenyekiti mbona sijawahi kumuona hata kwenye harakati za Chadema au BAVICHA akikijenga chama??

  Kwa ushauri wangu nawaomba wenyeviti wa BAVICHA kila mkoa waitishe maandamano ya vijana wa Chadema nchi nzima ya kutokuwa na imani na huyu dada ili atuombe msamaha kwanza sisi vijana kwa kuropoka vitu ambavyo hata mtoto mdogo hawezi kuvisema pale anapoona mtu kakosa tena hadharani.

  Pili apime uwezo wake kwa kipindi alipopewa madaraka hadi sasa na kutafakari ni kitu gani kawafanyia vijana haswa kwenye nyakati hizi za mageuzi ya uongozi ndani ya nchi yetu,,kwani tangu viongozi wa BAVICHA wachaguliwe hatujawahi hata kumsikia akikijenga chama zaidi ya kiongozi wetu tunaemsikia mara kwa mara ndugu HECHE.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,125
  Trophy Points: 280
  True mkuu, huyu anarudisha nyuma jitihada, na watu kama hawa ni wa kuwa ondoa mapema kabula hawajaleata madhara makubwa, kwanza haujulikan so akipigwa chini haitakuwa mbaya
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Lakini tuwe makini tusije tukakandamiza uhuru wake wa kutofautiana mtazamo na kuwa na maoni tofauti, hasa ukichukulia kwamba chama chetu ni makini sana ukilinganisha na CCM.
   
 4. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Kinachoudhi hapa ni kukimbilia vyombo vya habari na kujifanya bingwa wa kumpinga bosi wake,,kwanini hakukaa na bosi wake wajue ni kwanini aliamua kutoa tamko,,pili ni mtu ambaye anaonekana ana mchango hafifu sana ndani ya chama wakati Heche hadi sasa tunaongea yuko Same anafungua matawi ya chadema,,mbona hajaenda huko kufanya kazi kama anazofanya Mwenyekiti??
   
 5. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani mnashindwa kumshughulikia kichama muitishe maandamano kwanini? Hiyo itadhiirisha kuwa hamna hekima hata kidogo na wala uwezo wa kupambana na mambo hamnayo.
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wenye akili zetu tunajua na tunamuunga makamu mwenyekiti Heche chizi tu anajitolea maamuzi yake mwenyewe halafu anasema bavicha pambaf.Mazezeta ndo watakao muunga mkono hilo lijamaa lisilopenda kuwa shirikisha viongozi wenzake.
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maandamano ni kupoteza muda, zipo hatua za kuchukua kichama. Jamani tuandamane kwa sensitive issue na siyo upuuzi wa kikahaba kimoja tu tumumiwa vibaya ndiyo watu waandamane!!!!!

  Akanywe na aonywe kwa taratibu za kichama ili kati ya yeye na Heche ijulikane ni nani amekosea.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkitaka mtapewa na defender za kuwasinndikiza kwenye hayo maandamano ili mmaliazane vizuri.
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba mchango hafifu,yaani hana mchango wowote ndani ya chama aende zake kwa Shibuda,hatufai ndani ya chama.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,006
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Najua unaumia sana Heche anavyomaliza CCM,ndio maana umetoa pumba zako hapa.
   
 11. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  Mkisha maliza maandamano ya kupinga kauli ya shibuda ANDAMANENI NA HILI na mimi nawaona nyie BAVICHA KAMA VILE WATOTO WADOGO MSIO NA KAZI YA KUFANYA..HAMSOMI KWELI NYIE AU HAMNA AJIRA..KALIMENI KUNA MAPORI MENGI TU YAPO WAZI...
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  NI AJABU ILIOJE KUSHUHUDIA JINSI GANI VIRUSI VYA CCM VINAVYOKOSA AMANI NDANI NA NJE YA CHADEMA KADRI JOTO LA 'M4C OPARESHENI VUA GAMBA VAA GWANDA' LINAVYOENDELEA KUPANDA KOTE NCHINI!!!

  Mhe Heche, asante sana kwa na timu yako mahiri ya BAVICHA kuendelea kujikita zaidi kwenye KUFANYA KAZI KAMA AMBAVYO MLIVYOAGIZWA NA CHAMA CHETU bila kuwapa nafasi VIRUSI VYA CCM (Shibuda) ndani ya chama chetu kutuondoa akili KWENYE MAMBO YA MSINGI ZAIDI kichama na kuanza kutuelekeza kwenye yale ya pembeni kama ambavyo alivyoagizwa na bosi wake Mzee Wasira kule Chimwaga.


  [​IMG]

  Tangu sasa tungependa kuona Mwenyekiti BAVICHA akielekea Tanga kuvua gamba wananchi na kuwavisha gwanda, naye Makamu mwenyekiti BAVICHA tumsikie kwamba yuko Sumbawanga anaendeleza safu kule.

  Ndio, nasema hivi kwamba hata naye Katibu wa BAVICHA tumsikie akichanja mbuga na timu yake mikoa ya Lindi na Mtwara huku bila wanatimu kurundikana sehemu moja na wengine kuanza kujificha nyuma ya wenzao bila kukiletea chama matunda na badala yake kugeuka wapikamajungu wa ki-aina kwenye vyombo vya habari.

  Pindi uonapo watu kama Mzee Shibuda wakipiga kelele zisizo na manufaa kwa mtu yeyote kichama basi tayari ujue kwamba ndani ya CDM kuna kundi fulani la
  FREE-RIDDERS (Wazembe) wasiofanya kazi za kichama na badala yake wao kugeuka MA-DEBE MATUPU kutoa sauti kubwa zidi wakati kila mbunge na makada mbalimbali chamani wako bize kweli kweli kuendelea kukijengea zaidi CHADEMA mtandandao mzito mashinani kote nchini ila wao lao ni kusubiri tu kujitangazia kuja kuvuna faida za juhudi za wenzake kwa KUTUMIA MTANDAO WA CDM kumnufaisha binafsi KUGOMBEA KITI CHA URAIS.

  Watu kama hawa lazima tuwe nao ndani ya chama wala msiwachukie kitu bali dawa kubwa kwao ni KUWAPUUZA HUKU TUKAWANYUNYIZIA '
  DAWA YA VIRUSI-CCM' wa kuwaondoa SUMU YA MAGAMBA ili wabakie tu kuwa GWANDA SALAMA siku zote kwa Maslahi ya Umma wa Tanzania.

  Kila kiongozi ndani ya BAVICHA na BAWACHA, mkae mkijua kwamba wananchi hivi karibuni tutaanza kuwadai mtueleze kwamba vyeo tulivyowapeni mmeweza kuvitumia vema kiasi gani kwa faida ya chama kuingiza idadi gani ya wanachama wapi na kwamba kamwe hatutowaulizeni kwamba katika kipindi chote cha uongozi wenu ULIONGEA MARA NGAPI na vyombo vya habari.

   
 13. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Namshukuru mkuu wa Nyumba(Mh Mbowe) amelitolea tamko zuri alipokuwa anaongea na CLOUDS FM,,Mbowe kasema kuwa "katika siasa lazima kuwepo na mgongano wa mawazo,,,sisi kama viongozi wakuu wa chama tuna majukumu makubwa sana ya kufanya kuhusu Taifa na si hili la BAVICHA na Shibuda,,,najua hili haliwezi kukiathili chama kama watu wanavyofilia,,litamalizwa tena vizuri""" hayo yalikuwa maneno ya Mwenyekiti wa chama ....
   
 14. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  the discussion is now closed1
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Maandamano ndio silaha ya Chadema cha kushangaza eti nchi nzima waandamane sababu ya huyu binti.
   
 16. h

  hans79 JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  unamtetea bi mdogo msijegombana na shibuda kanyumba kake hako,acha uroho dogo.
   
Loading...