Maandamano wakazi wa Goba

Maandamano wakazi wa Goba

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
Mbunge wa ubungo(JOHN MNYIKA) amewapa DAWASCO siku moja ya kuhakikisha wakazi wake wanapata maji mpaka kesho vinginevyo wataandamana mpaka kwenda DAWASCO kudai maji.

source: EAST AFRICA RADIO(taarifa ya habari saa nne)
 
Back
Top Bottom