Maandamano Rukwa kumlaani Mh Aeshi Risasi Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Rukwa kumlaani Mh Aeshi Risasi Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Sep 27, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wananchi sumbuwanga mjini wanaandaa mandamano ya kumulaan Mbunge wao kwa Matumizi ya Silaha Igunda.Wanapanga kuandamana Leo
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  heko Wananchi werevu huyo ni jambazi wa CCM
   
 3. l

  luckman JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Masikini alijtumwa na magamba! Enyi wapumbavu acheni kutumwa na wapumbavu wenzenu!
   
 4. P

  Ptz JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Source! Mimi niko Sumbawanga shz. Hata hivyo, huyo mbunge mbona kilaza tu fisadi mkubwa, mimi nimesoma naye primary Jangwani akafeli darasa la saba ila baba yake mzee Hilaly alifanya mambo yake akafanikiwa kumwingiza huyo Aishi na dada yake anaitwa Jamila Mazwi sekondari 1990, jamaa alikuwa boya hasa, mwaka 1992 huyo Aishi alifukuzwa na wenzake 7 yeye alikuwa mfadhiri wa hao waliofukuzwa nao, kilikuwa ni kikundi cha wabakaji, walevi na wavuta bangi, wenzake wote waliendelea na shule za binafsi na kwa sababu tu ya ukilaza wake ndo maana hata baba yake hakuangaika kumpeleka tena shule yoyote hata dada yake aliambulia zero fomu 4, baada ya kufukuzwa shule aliendeleza uchafu wake, mfanyabiashara maarufu hapa Sumbawanga Said Bus aliamua kumtumia katika biashara ya kuvusha sukari toka Zambia kuleta Tanzania, na kwa kiasi kikubwa biashara aliyokuwaakifanya ni magendo, ni kipindi hicho kwa magendo hayo akajipatia vijisenti vya kifisadi, mwaka 2007 akajiingiza CCM na kwakuwa viongozi wa CCm wilaya ya Sumbawanga akina mzee Kabanga, Tung'ombe, mama Maufi na Matete nao njaa kali wakampamba na kumwandalia mazingiara ya kugombea ubunge kwani aliwajaza mapesa ya kifisadi wakajaa wakalewa hadi wakasaliti imani yao ya dini, hadi walishafungiwa kusali.Azima yao ilitimia na kuhakikisha anapita ubunge na hatimaye mtoto wa mkulima aliingiza kwenye mkumbo akatumia kura ya veto, habari toka watu wa uhakika mtoto wa mkulima alishiriki uchakachukuzi wa matokeo ya sumbawanga mjini.Zaidi ya yote Aishi anatuhuma nzito za udhalilishaji na ubakaji, uwezo wa kujenga hoja hana, elimu ndo hivyo tena, anachokifanya ni kutumia umasikini wa wanasumbuanga kwa kugawa vijisent vidogo vidogo na viunifomu vya magamba! Kwa hiyo sishangai kwenda Igunga kufanya vituko vya kijinga, ni kilaza namba one!
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  duh, kuna % ya ukweli kwenye hayo uliyoyoandika mkuu, ila nashangaa saa nane za usiku mbunge wa kiume na mbunge wa viti maalum mpo wapi? baa, gest, mkutano wa dharura au kwenye kampeni? watu wanatafakari mustakabari wa nchi nyie bado mnazurura igunga?

  aisee hii ni nomaaa....
   
 6. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Uzinzi kwenda mbele
   
 7. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli na nyinyi watu wa Sumbawanga yaani bado mnajisifia kwamba mna Mbunge!!!???. Kwanini msifanye maamuzi magumu. Kwenye hayo maandamano amueni moja, fuateni utaratibu kisha mpeleke barua kwa Spika wa Bunge kuhusu maamuzi yenu magumu pia kwenye tume ya uchaguzi.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280

  Unashangaa nini mkuu wakati kaulimbiu yao huko Igunga ni KUSAGANA NA KUKOBOANA?
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi hakuna sheria inayoruhusu wapiga kura kumuondoa mbunge wao pale wanapobaini kuwa hawafai tena? Ingekuwa vizuri wananchi wa Sumbawanga Mjini wakaja na azimio la kumng'oa huyo kilaza jambazi.
   
 10. m

  mpiganaji86 Senior Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jeshi la polisi linanafanya kaz kwa maagizo ya ccm huyu aesh na easter bulaya sijui m.l.ya ndio walivamia ssa iweje akasachiwe kamanda wetu mwita waitara ?
   
 11. MWAGONA

  MWAGONA Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  japo ya yote ini kwamba kwenye uchaguzi uliofanyika sumbawanga CDM ndio ilikuwa imeshinda chini ya mzee Mwakabonga aliyekuwa mkuu wa shule ya secondari kantalamba lakini magamba wali chakachua fasta hivyo upumbavu ambao alifanya huyo mbuge wa magamba ni hali yake ya ujuha aliyo nayo
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Haya maandamano yanayotangazwa saa nane mchana ni ya kinafiki
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wangekua werevu wsingechagua jambazi
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sasa ilikuaje mkamchagua huku mkijua yote hayo kama sio ukilaza na umbumbumbu wenu?............. inaonyesha watu wa huko vilaza kuliko mbunge wao

  aisee
   
 15. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  .....nilisoma kuwa pinda alichangia kuchakachua!!....
   
 16. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  MTM heshima mkuu! Si vyema kuwatukana wananchi wa Sumbawanga, heri uulize kilichotokea. Huyo Aeshi hakushinda kwa kura hata kidogo, watu walijumlisha kura kituo hadi kituo na CHADEMA ilishinda kwa tofauti ya kura 100. Pinda aliiitisha kikao na msimamizi wa uchaguzi na akamuamuru achakachue, jambo hilo liliwaudhi watu wengi hadi mzee Mzindakaya akataka amkunje Pinda. Hakuna aliyemtaka huyu jamaa. Usiwatukane watu wa Sumbawanga, walitimiza wajibu wao, wakachagua headmaster (kutoka CHADEMA) aliyemfukuza shule Aeshi miaka ya nyuma!
   
 17. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukiona maneno mengi ujue mlishindwa kihalali, hakuna hoja hapo !
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Babkey na Jabulani... ninaheshimu sana mawazo yenu ila kinachonishangaza mbona hakuna appeal??

  Ni vipi wananchi walishindwa kusimama imara kusema hii haiwezekani?? kumbuka kuna wapuuzi fulani wanasema usimulize nchi imekufanyia nini ila wewe utaifanyia nini nchi... je wao walisimama na kuifanyia nchi haki??? au ndiyo yale ya mwanamke anabakwa halafu katikati ya tendo anakatikia??

  sorry for a foul language
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  vipi partner keshapona?
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mnaandamana? vipi sare za ccm na doti za khanga na vitambaa na vijisent
  mlivyohongwa vimeisha? hayo maandamano ni ya kuomba mpewe tena, igunga
  ni mwamvuli tu. doti moja tu.... imewaumbua, subirini 2015 mfanye maamuzi
  yenye akili, sio kuandamana wakati mmeshachelewa
   
Loading...