Maandamano Rukwa kumlaani Mh Aeshi Risasi Igunga

Ukiona maneno mengi ujue mlishindwa kihalali, hakuna hoja hapo !

Hoja ipo, ila kwakuwa IQ yako ndo unafikiri kwa masaburi huweziona hoja ni magreat thinkers tu wanaiona na siyo wewe! Mbunge gani akirudi jimboni anakuwa kwa tinted kuogopa zomeamea mjini!
 
Leo Nilikuwa Sumbawanga mjini nikisubiri hayo maandamano sijayaona. Kwa muono wangu Naona mtowa mada ana chuki zake binafsi na mbunge huyo. Kisingi sijasikia habar zozote za maandamano.
 
Wananchi sumbuwanga mjini wanaandaa mandamano ya kumulaan Mbunge wao kwa Matumizi ya Silaha Igunda.Wanapanga kuandamana Leo

acha ushakunaku mm nipo sumbawanga na sijaskia hayo maandamano kifupi aeshi si mtu wa fujo kama ali-fire hizo risasi basi alikuwa anajihami na ni mbunge aliechaguliwa kwa kura wananchi walimtaka mbunge mwenye maendeleo binafsi ataewaletea na wao maendeleo sio headmaster na nyie mnaemponda wengi wenu ni makuli mnaishi kwa kupakia na kushusha mizigo kwenye magari yake pumbaaf zn
 
Leo Nilikuwa Sumbawanga mjini nikisubiri hayo maandamano sijayaona. Kwa muono wangu Naona mtowa mada ana chuki zake binafsi na mbunge huyo. Kisingi sijasikia habar zozote za maandamano.

ni chukibinafsi labda alienda kuomba kazi ya utanboy kwenye magari yake akanyimwa
 
Huyo analaana ya wana Sumbawanga,maisha yake yatakuwa ya utapeli,ulevi,uzinzi,ubabe,wizi,dhuruma na kila aina ya uchafu mpaka hapo mauti yatakapomfika.Wana Sumbawanga pamoja na maumivu mliyonayo kwa kitendo cha Pinda kumuweka kwa nguvu kilaza huyo kuwaongoza.,poleni iko siku haki itapatikana tu,pigeni moyo konde!!!!!!!!!!!
 
MTM heshima mkuu! Si vyema kuwatukana wananchi wa Sumbawanga, heri uulize kilichotokea. Huyo Aeshi hakushinda kwa kura hata kidogo, watu walijumlisha kura kituo hadi kituo na CHADEMA ilishinda kwa tofauti ya kura 100. Pinda aliiitisha kikao na msimamizi wa uchaguzi na akamuamuru achakachue, jambo hilo liliwaudhi watu wengi hadi mzee Mzindakaya akataka amkunje Pinda. Hakuna aliyemtaka huyu jamaa. Usiwatukane watu wa Sumbawanga, walitimiza wajibu wao, wakachagua headmaster (kutoka CHADEMA) aliyemfukuza shule Aeshi miaka ya nyuma!

sasa tofauti ya kura mia ndo inakufanya uwatetee hao watu?
 
Wananchi sumbuwanga mjini wanaandaa mandamano ya kumulaan Mbunge wao kwa Matumizi ya Silaha Igunda.Wanapanga kuandamana Leo
Huyu si ndiye alitangaza kuwa kauzika msalaba huko Sumbawanga?Mbowe alipochomoa bastola kule Hai polisi walimkamata haraka na kuifanya issue kubwa,lakini kwa CCM wao ni cowboys silaha vibindoni masaa 24.
 
Back
Top Bottom