JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Ukinipa faida zake nitayapendawewe huyapendieeee!!????
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Watu wengine bwana mkiambiwa hamna akili mnadai tuache matusi, hivi hapa JF ni wapi?, mbona mimi nipo huku kikazi JF inapatikana? Au umekelemishwa kwamba JF nayo ni ya Moshi, Arusha na kanisaniKawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Kwani JF ni kwa ajili yako au watu fulani?Hapa ndio mahali pa kuweka kila kitu chenye maslahi ya nchi na wananchi kwa ujumla.Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
wewe mbona upo hapo kupingapinga kila kitu?? are you one of the great thinkers?? I guess not!! unataka aposti wapi hii thread? siku ya ukombozi ikifika you may the sacrifice, blood idiot!!!Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
Unganisha tu hiyo sentensi, huna haja ya kutumia vinukta...mods by this time wamelala!mahali pake ni wapi? ki.cha.a wewe!!!
Siyo kila mtu anataka kusikia shida za Rorya...waache wafu wazikane!Watu wengine bwana mkiambiwa hamna akili mnadai tuache matusi, hivi hapa JF ni wapi?, mbona mimi nipo huku kikazi JF inapatikana? Au umekelemishwa kwamba JF nayo ni ya Moshi, Arusha na kanisani
ushaniona nikitumia au?acha bange zako
Nawashwa na koo...nahitaji sprite baridi!rejao unawashwa na nini maana mh.......
Nina wasiwasi kama wanachi wa Rorya wanaelewa kuhusu mchakato wa katiba!Wananchi wote wa Rorya hasa maeneo ya Shirati bila kujali Itikadi, Dini, Kabila wala Rangi tutafanya maandamano makubwa Alhamisi tarehe 17.11.2011 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Maandamano hayo yataanzia maeneo ya Sota na kuishia Shirati - Obwere ambapo yatapokelewa na wananchi wenye hasira kali na wenye uchungu na nchi yao. Malengo ya maandamano hayo ni:
1. Kudai katiba mpya ya Tanzania
2. Kudai maji na mamlaka ya mji mdogo wa Shirati tuliyoahidiwa na waziri mkuu (Pinda) lakini baada ya CCM kushindwa na CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Mkoma uliyofanyika 2/10/2011, CCM walikaa kikao cha kamati ya siasa na maadili na kuamua kuwa zoezi la kupeleka mamlaka ya mji mdogo na maji Shirati lisitishwe hadi baada ya 2015 kama CCM watashinda udiwani kwenye kata hii Mkoma na kwamba wakipeleka maji na mji mdogo Shirati itaonekana kuwa CHADEMA ndiyo wamefanya hayo yote na CHADEMA itaimarika ndani ya Rorya!
Kikao hicho kilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Rorya, M/kiti wa CCM wilaya, Katibu wa CCM wilaya na wajumbe wengine wawili na tuna nakala ya hicho kikao na hayo maamuzi ya kipumbavu na ya kijinga!
Wote mliokaribu tunawakaribisha ili mtuunge mkono kwa mafanikio makubwa zaidi.
mkuu! mbona unadandia gari kwa mbele? si lazima ucoment upupu wako...Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!
nimekaa kwenye bonet...full kumblok dereva!mkuu! mbona unadandia gari kwa mbele? si lazima ucoment upupu wako...
Junior...karibu JFrejao bwana ...huwa unashangaza kweli
Wananchi wote wa Rorya hasa maeneo ya Shirati bila kujali Itikadi, Dini, Kabila wala Rangi tutafanya maandamano makubwa Alhamisi tarehe 17.11.2011 kuanzia saa 2:00 asubuhi. Maandamano hayo yataanzia maeneo ya Sota na kuishia Shirati - Obwere ambapo yatapokelewa na wananchi wenye hasira kali na wenye uchungu na nchi yao. Malengo ya maandamano hayo ni:
1. Kudai katiba mpya ya Tanzania
2. Kudai maji na mamlaka ya mji mdogo wa Shirati tuliyoahidiwa na waziri mkuu (Pinda) lakini baada ya CCM kushindwa na CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Mkoma uliyofanyika 2/10/2011, CCM walikaa kikao cha kamati ya siasa na maadili na kuamua kuwa zoezi la kupeleka mamlaka ya mji mdogo na maji Shirati lisitishwe hadi baada ya 2015 kama CCM watashinda udiwani kwenye kata hii Mkoma na kwamba wakipeleka maji na mji mdogo Shirati itaonekana kuwa CHADEMA ndiyo wamefanya hayo yote na CHADEMA itaimarika ndani ya Rorya!
Kikao hicho kilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Rorya, M/kiti wa CCM wilaya, Katibu wa CCM wilaya na wajumbe wengine wawili na tuna nakala ya hicho kikao na hayo maamuzi ya kipumbavu na ya kijinga!
Wote mliokaribu tunawakaribisha ili mtuunge mkono kwa mafanikio makubwa zaidi.
nimekaa kwenye bonet...full kumblok dereva! duh! na wasi wasi na IQ yako mkuu!
Kawatangazie Rorya huko...hapa siyo mahali pake!