utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Wito kwa wafia nchi wote. Naomba nchi iitishe maandamano makubwa kila kona iwe mjini shambani barabarani au porini ili kumpongeza Rais Magufuli kwa harakati kubwa anazozifanya za kusimamia ipasavyo rasilimali za Nchi yetu. Maandamano haya yasiwe na ukomo hadi mabaka uchumi yote yatakapoisha. Halafu mali za mafisadi zikamatwe na wao wafikishwe kwenye mahakama ya mafisadi. Naomba kuwasilisha