hivi ni kweli musoma kuko swali? Bahati mbaya hapa nilipo sina radio wala tv!
subiri utaona itv taarifa ya habari ya usiku
hivi ni kweli musoma kuko swali? Bahati mbaya hapa nilipo sina radio wala tv!
Mtoa taarifa mbona unatuangusha' hatujapata uhakika wa taarifa
na wewe pia acha uzembe wa kufikiri,acha utumwa wa fikra,acha kuongea pumba juu ya vitu usivyovijua.njia pekee ya mnyonge kupata haki yake ni maandamano,siku zote haki haiombwi bali hutafutwa na kupiganiwahii ni mbegu iliyopandwa na chama chenye hati miliki ya maandamano. Huu ni uasi. Chama kingine kiko kinapanda mbegu ya udini na ukabila, hasa pale wanaposhawishi umma uamini kuwa mama wa igunga alivuliwa hijab, wakati mama wa watu ni mfugaji bora wa nguruwe. Tusipoangalia, mbegu hizi zipandwazo na wanasiasa, zitakuwa maafa makubwa kwa nchi yetu. Tuache siasa za maji taka
Habari hizi si za kweli,mi nipo maeneo ya mjini hapa hakuna kitu kama icho.Hali ni tulivu kabisa natokea maeneo ya posta naenda majita road kupitia ofisi ya RC,NA KWa rpc ni utulivu kwenda mbele.
na wewe pia acha uzembe wa kufikiri,acha utumwa wa fikra,acha kuongea pumba juu ya vitu usivyovijua.njia pekee ya mnyonge kupata haki yake ni maandamano,siku zote haki haiombwi bali hutafutwa na kupiganiwa
Msome vizuri mkuu; kuna fumbo fulani kalitumia .... mi nimemwelewa vyema!
MKOA WA MARA unatakiwa utawaliwe na JWTZ sio rc wala rpc
hii ndo serikari ya ccm haipendi kufanya wajibu wake mpaka wasukumwe na chadematatizo la viongozi tulionao hawawezi kufanya kazi bila kushtuliwa.mauaji yanafanyika lakin hakuna serious measures!wananchi wako sahih kuandamana.
we masaburi uweza kubishana na george marato aliyetoa taarifa hii au ndio walewale ambao mnatumwa kupindisha ukweli,george marato kasema kuna umati mkubwa wa watu wamejaza barabara kuelekea kwa RPC Mkoa wa mara halafu wewe unaleta upuuzi hapa!sh.................nzi!Kwani wewe upo Musoma Ipi?!eleza ukweli sasa uliopo kwenye hiyo Musoma ulipo!
we masaburi uweza kubishana na george marato aliyetoa taarifa hii au ndio walewale ambao mnatumwa kupindisha ukweli,george marato kasema kuna umati mkubwa wa watu wamejaza barabara kuelekea kwa rpc mkoa wa mara halafu wewe unaleta upuuzi hapa!sh.................nzi!
Habari hizi si za kweli,mi nipo maeneo ya mjini hapa hakuna kitu kama icho.Hali ni tulivu kabisa natokea maeneo ya posta naenda majita road kupitia ofisi ya RC,NA KWa rpc ni utulivu kwenda mbele.