Habari hizi si za kweli,mi nipo maeneo ya mjini hapa hakuna kitu kama icho.Hali ni tulivu kabisa natokea maeneo ya posta naenda majita road kupitia ofisi ya RC,NA KWa rpc ni utulivu kwenda mbele.
na wewe pia acha uzembe wa kufikiri,acha utumwa wa fikra,acha kuongea pumba juu ya vitu usivyovijua.njia pekee ya mnyonge kupata haki yake ni maandamano,siku zote haki haiombwi bali hutafutwa na kupiganiwa