Picha ziko wapi?
Umeniacha hoi!picha kwani wewe kiziwi?
Wananchi mkoani mara waandamana kupinga mauaji ya raia. Waendesha bodaboda. Barabara zimejaa na wanelekea kwa rpc. Hali ni tete. Watu ni wengi sana sana
source: Radio one breaking news
Mkuu uko kwenye eneo la tukio au vipi??!!,kama uko eneo la tukio picha ni muhimu sana ukizingatia Thread yako haina maelezo ya kutosha tafdhali sana.
MKOA WA MARA unatakiwa utawaliwe na JWTZ sio rc wala rpc
Hawachelewi kusema lema ndio anayaongoza hayo maandamano.
Habari hizi si za kweli,mi nipo maeneo ya mjini hapa hakuna kitu kama icho.Hali ni tulivu kabisa natokea maeneo ya posta naenda majita road kupitia ofisi ya RC,NA KWa rpc ni utulivu kwenda mbele.
acha upumbavu we upo msm ipi?
mpe za uso huyo! anacheza na watu wa msm?
acha upumbavu we upo msm ipi?
kwani wewe upo musoma ipi?!eleza ukweli sasa uliopo kwenye hiyo musoma ulipo!