Ndo wanafufuka hivo.
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Modurators mbona hakuna icon ya dislike? Ningempa ShosiWe MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
shossi bwana unataka useme huu mtandao niwachadema???we mmahe upo sawa kweli? Badala ulete habari za chadema unatuleta utumbo wa cuf! Jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
kumbe hujapona bado! nilete habari zip za Chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? acha ushabiki wa kijinga! hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? mbona hawatetei? ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! hata wangeandamana TLP ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
mkuu achana na huyo we tupe habari za huko bwana tunawatakia mafanikio mema!kumbe hujapona bado! Nilete habari zip za chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? Acha ushabiki wa kijinga! Hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? Mbona hawatetei? Ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. Binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! Hata wangeandamana tlp ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Modurators mbona hakuna icon ya dislike? Ningempa Shosi
Kweli si kila anayesema people's power ni cdm!!?