Siwezi kushiriki huo upuuzi nyalandu andamana mwenyewe na aunt ezekiel na faraja kota na wanao maana ndo mnafaidika na hap tembo pia kumbukeni kuandamana kuelekea kwa kinana......Jiji la Arusha litapata mtikisiko wa maandamano asubuhi hii yatakayoanzia Majengo, kuzunguka viunga mbalimbali vya jiji, hatimae kuishia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta. Maandamano hayo yameandaliwa na umoja wa waongoza watalii, Tato, na yataongozwa na Waziri Nyalandu. Lengo lake ni kupinga mauaji ya Tembo nchini.
Itakumbukwa kwamba mauaji ya tembo yamekuwa ni janga hapa nchini tangu uongozi mpya wa Chama cha mapinduzi uingie madarakani na licha ya watuhumiwa mbalimbali kutajwa, akiwemo Katibu mkuu wa chama hicho, bado takwimu zinaonesha Tembo mmoja anauawa kila siku nchini na itakapofika mwaka 2025 Tembo watakuwa historia hapa nchini.
Nawasihi wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano haya na kulaani kwa nguvu zote mauaji ya Tembo wetu!
Jiji la Arusha litapata mtikisiko wa maandamano asubuhi hii yatakayoanzia Majengo, kuzunguka viunga mbalimbali vya jiji, hatimae kuishia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta. Maandamano hayo yameandaliwa na umoja wa waongoza watalii, Tato, na yataongozwa na Waziri Nyalandu. Lengo lake ni kupinga mauaji ya Tembo nchini.
Itakumbukwa kwamba mauaji ya tembo yamekuwa ni janga hapa nchini tangu uongozi mpya wa Chama cha mapinduzi uingie madarakani na licha ya watuhumiwa mbalimbali kutajwa, akiwemo Katibu mkuu wa chama hicho, bado takwimu zinaonesha Tembo mmoja anauawa kila siku nchini na itakapofika mwaka 2025 Tembo watakuwa historia hapa nchini.
Nawasihi wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano haya na kulaani kwa nguvu zote mauaji ya Tembo wetu!
Watu wa Arusha kwa ujasiri wenu ambao maCCM yanaujua, naombeni msaidieni Nyalandu kazi ambayo tunajua haiwezi. Maana hajafikia kiwango cha kujitoa kwa dhati...
Kazi yenyewe ni NAME n SHAME.
Majangiri wakubwa wanajulikana. Vigogo wa Serikali ya CCM na mawakala wao au maswahiba wa biashara hiyo.
Chukueni hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni mwaka 2012 na 2013, vigogo wa CCM walitajwa Kwa majina. Wakiongozwa na weka mbali na tembo.
Name n shame them...
Nyala... pia ni jangilimkamateni akija mfikisheni central police atataja wenzake..
Hivi hawa wauwaji wa tembo si walitajwa nawaziri kivuli wa upinzani Bungeni? Imefikia wapi
kinana ndiyo kinala wa ujangili..sasahivi yuko busy na mikutano ya kisiasa ndiyo maana tembo hawauwawi...
Tunaopinga katiba ya Mafisadi pia tupo na mabango yetu katikati yao.... Twende kazi
Unajitekenya nakucheka Mwenyewe kambi rasmi Bungeni iliwataja wauwaji walifanywa nini wewe Buku Saba wacha kuka kwenye chupa hapo LumumbaWanachadema wanaongoza kwa kuua tembo Arusha.
Lema na genge lake.la wahuni ndio wanaongoza kwa kuua tembo mkuu