mimi nawapongeza kwa mpango huu ila nashindwa kuelewa ni kwa nini wanaandamana siku ya ijumaa ambapo wanalenga kutokea msikitini ???Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.
Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
Mimi ninawaonea huruma sana polisi kipindi hiki, hasa ukichukulia na serikali haina pesa kwasasa maana tungesema watatengeneza posho kwa kuua watuBaada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.
Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
Usiwatishe! Mbona husemi wale wachina waondoke?Habari njema nawaunga mkono muungano ukivunjika Tanaganyika itafaidika Zanzibar itafaidika lakini wale wazenj waliojazana Dar wajiandae kuondoka mara moja.