Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

Kama ni kweli yatafanyika basi ni aina nyingine ya usanii tu kutaka kujipima kukubalika kwao katika jamii, hiyo ni kashfa kwa serikali walikuwa wapi siku zote hadi watu wanajichotea mapesa kiasi hicho. Labda kama atawataifisha mali zao na kuwachukulia hatua za kisheria tutamuona wa maana vinginevyo hata akiniteua mimi nitachota za kutosha nijilipe mafao yangu kabisa ili hata ikitokea akiniondoa niendelee kula bata. Kama ameamua kuwaondoa kwa utashi wake tuone akiwashitaki vinginevyo he does not deserve any credit.
mimi namshauri kikwete alivunje kabisa asilisuke upya ila alijenge upya na waziri mkuu ampute ili spika ajibu mwongozo lema kuwa waziri mkuu kasema uongo bungeni hadi leo haujajibiwa sijui anasubiri nini au spika alijua jamaa pm atafukuzwa ndo maana amevuta subira nahisi bunge lijalo ataujibu mwongozo alioombwa na lema
 
Binafsi yangu kama ningelikuwa JK ningeunda kamati maalum ya bunge kusikiliza kesi zote zinazowahusu mawaziri waliohusika na report ya CAG watoe majibu. na kama kamati hiyo haitaridhika viongozi hao wataachishwa kazi, freeze mali zao kutiwa ndani na kufikishwa mahakamani. Hii habari ya kuvunja baraza la mawaziri pekee haitoi fundisho lolote na kifupi inadhihirisha zaidi uzembe wa rais kutofahamu jinsi ya ku deal na watu wanaoharibu jina la chama, maana wanajua wataiba na hawatadhurika zaidi ya kuachishwa kazi - who cares ukisha tajirika!.

Kubadilisha baraza la mawaziri haiondoi wala kuboresha baraza hilo na itaendelea kufahamika vichwani mwa watu kwamba ndani ya CCM wamejaa mafisadi ambao wataiba na hawatashtakiwa, sana sana wataachishwa kazi ambayo ni nafuu kwao maana wameisha vuna Ubillionea wakiwa kazini sasa wanapumzika na kujiendeleza..
 
Tulione Baraza ndipo apongezwe. Tusije shangaa macho yetu.
Mkuu Remmy, hata kama tukiliona hilo baraza kamwe kikwete ahatupaswi kumpongeza kwanini 1. niyeye aliowachagua hao mafisadi 2. watanzania tumekuwa tukipiga kele sikunyingi sana juu ya mawazi wa Kikwete lakini yuko kimya leo anataka kupinduliwa ndiyo anashituka halafu mpumbavu mmoja anakuja na hoja eti tumupongeze kwalipi.......na kwa taarifa nilizo zipata tangu juzi ni kuwa amewataeua January, Hamisi Kimwagala, Masele, Tzeba... kuwa mawaziri ukiwaangalia wote alio wateua ni wachafu kwa hiyo tusitegemee unafuu ukizinga wako ndani ya CCM hata kama wangekuwa malaika bado watabolonga tu.....
 
Kuonyesha utaifa, Maandamano kwa wilaya ya Kinondoni yataanzia makao makuu ya Chadema. Tunatanguliza shukrani za awali kwa uongozi wa CDM kwa UZALENDO ULIOTUKUKA!!
 
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''

kikwetu tunasema iseja yaani unaumwa
 
Wacha kuandika mawazo yako then unasema maandamo makubwa,wakina nani hao watakao andamana?Yaani hii ni jinsi unadhani ingetokea siyo?
 
Naweza kuunga mkono maandamano kwa ujasiri wa JK kukubali kuukata mkono wake mwenyewe kwa kuwa anaona unamfanya atende dhambi, ni hilo tu. Nasema kwa sababu mkono hauwezi kukwapua bila dhamira kutoka moyoni. NI SAWA NA ALIYEKATA NYETI ZAKE KWA SABABU ZILIMPELEKEA KUPATA UKIMWI. Kama akiri itatumika sawa sawa nadhani ni bora kufanya maandamano ya kumpongeza CAG kwa kuwa jasiri kufichua uovu na pia kuipongeza CDM kwa shinikizo lake lililozaa matunda. Nadahani CAG atakubaliana na mimi kuwa CDM imemfanya afurahie kazi yake.

Watanzania msije mkadanganyika kwa lolote kila wizi uliofanywa na waziri yeyote JK yuko nyuma yake. Ndugu zangu Ikulu inamacho kuliko unavyodhani wewe, huwezi kuvusha hata sisimizi Ikulu isikuone. Ni vibali vya Ikulu vinavyovusha madini, ni vibali vya ikulu vinavyouza maeneo nyeti, ni vibali vya Ikulu vinavyo uza vitalu, ni vibali vya Ikulu vinavyohalalisha ufisadi wa aina zote. Kama utaamua kukataa kataa lakini ukweli huo nimekupa. Kama huamini muulize EL kwa matatizo yaliyompata, JK alichangia 60% EL 25% Lost hamu 15%. Ujasiri alionao ni wakuwaruka wenzie na kuwaacha kwenye mataa. Hebu jiulize huyo mtoto wake Riziwani mtaji wa malori lukuki na vituo vya mafuta kaupata wapi? Watu tunaona bwana. JK ndiye kichwa cha maneno yote.

Mwizi hawezi kuibia nyumba kabla ya kumteka mwenye nyumba bwana. :nono::nono:

Ndugu kuona tu haitoshi, tutaona vingi zaidi ya hivyo mwisho tutapofuka na hayo macho yenyewe! Mimi na wewe, tukiamini na kuthubutu tunaweza kufanya jambo. Kwani sio sie tunaowaona na kucheza nao mitaani, wale wenye kuhodhi mali za umma kama za urithi wao? Sio sie tunaozungukwa na migodi na kuwalinda wezi wa kigeni, wa madini yetu? Tunaishia maneno tu vyumbani mwetu, hali nje twawakenulia meno. Kwanini hao wateule wetu wawe na nguvu ya kufanya chochote kibaya, hali si tunashuhudia? Iwapi nguvu ya UMMA? Bado naamini, na sitoacha, Demokrasia si njia sahihi kwa nchi za kiafrika, nyakati zetu na mazingira yetu hayaendani na upuuzi huu! Tukiamua, tunaweza, nguvu umoja na kuthubutu. MAISHA NI FURAHA, KAMA HAIPO BASI MAISHA NI UPUUZI. Mungu wetu anaita!
 
Binafsi yangu kama ningelikuwa JK ningeunda kamati maalum ya bunge kusikiliza kesi zote zinazowahusu mawaziri waliohusika na report ya CAG watoe majibu. na kama kamati hiyo haitaridhika viongozi hao wataachishwa kazi, freeze mali zao kutiwa ndani na kufikishwa mahakamani. Hii habari ya kuvunja baraza la mawaziri pekee haitoi fundisho lolote na kifupi inadhihirisha zaidi uzembe wa rais kutofahamu jinsi ya ku deal na watu wanaoharibu jina la chama, maana wanajua wataiba na hawatadhurika zaidi ya kuachishwa kazi - who cares ukisha tajirika!.

Kubadilisha baraza la mawaziri haiondoi wala kuboresha baraza hilo na itaendelea kufahamika vichwani mwa watu kwamba ndani ya CCM wamejaa mafisadi ambao wataiba na hawatashtakiwa, sana sana wataachishwa kazi ambayo ni nafuu kwao maana wameisha vuna Ubillionea wakiwa kazini sasa wanapumzika na kujiendeleza..

Mkuu, tusianze kujilaumu na kujutia nafasi zetu, kila mtu akisema ningekuwa fulani ningefanya hivi, tutafika wapi? Kila mtu akicheza nafasi yake effectively, tutabaki na historia ya mijitu kama hii serikalini. Nguvu UMOJA na KUTHUBUTU. Mungu wetu yu tayari kutushindia. Anaita sasa!
 
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''
Hivi wewe ni mzima kweli?
 
hayo maandamano yanaandaliwa na nani?na yana tija na hali halisi ya Taifa hapa lilipo?Hayatakuwa na uvunjifu wa amani kwa sababu yameandaliwa na Mgamba? mi natoa ushauri wa IGP hayapige marufuku maandamano haya! na police nchi nzima washiriki kuyasambaratisha popote yatakapofanyika.
 
Hata mlevi ambae pia ni taahira asingeweza kujitukanisha mwenyewe kwa namna hii uliofanya hapa! Siamini kuwa una mental capacity ya kuliona tusi ulilojitukana hapa, so I'll try to explain: umeonyesha kuwa taahira mlevi ana mental capacity kubwa kuliko yako!
Tunakutofautisha vipi wewe na lusinde?

Pima ulichoandika halafu utuambie wewe mwenyewe tufanye nini ili kukutoafautisha na jamaa ukiacha ya kuwa wewe ni cdm yeye ni ccm?
 
Kuna mikoa mingine haina wanachama nawapenzi wa sisiem,ssa itakuwaje na makusudio yenu ni nchi nzima?

hebu nitajie mkoa ambao ccm haina mbunge hata mmoja,mimi naanza kwa kuitaja mikoa ambayo chadema haina muwakilishi aliyechaguliwa na wananchi hata mmoja,lindi,mtwara,pwani,zanzibar yote,tanga na kuendelea list ni ndefu,wewe nitajie mkoa mmoja tu hata wa kanda wa huko kwenu kanda ya kaskazini ambao ccm haina wabunge au madiwani
 
Kwa mawazo yangu maandamano yafanyike kumpongeza Zitto na si vinginevyo. Kwani hoja aliyoitoa bungeni ndiyo imepelekea kuvunjwa baraza hilo la mawaziri.
 
Kama maandamano ya kuhakikisha wezi wetu wanafikishwa mahakamani nzuri,sioni sbb ya kumpongeza mwizi N01 km jk na CC YA MAGAMBA.ETI WAMETIMUA WEZI BAADA YA HAPO?msabaha,karamagi,chenge na wengine unawafam walijihudhuru kwa kubainika kwao wezi.NI NINI KILIFUATA?wtz tumechoka kudanganywa km watoto,chamsingi wafiliwe na wafungwe km inavyofanyika kwa wezi wengine.NADHANI HAPO HATA VIJIJINI TUTAANDAMANA KUWAPONGEZA.
 
Wasipoandamana watafichaje aibu ya mtu wao na genge lake? Siku watakapoona ukweli watalia na kusaga meno. Kujikomba ni sera mojawapo ya CCM ambayo watu wengi hawaiongelei. Shame on them all!
 
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri. mkuu maamzi magumu nipamoja nakufunguliwa kesi kama wahalifu wengine mali zilizoibwa zilejeswe

Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''

mkuu sisi wanyonge hatufaidiki chochote kuiba wameiba mabadiliko yatafanyika watapoteza uwaziri ubunge jee? wataendelea kupetaa huu niunafiki tunawe uso tusikubali iishie kwenye kubadili mawaziri wafilisiwe nakufungwa kwanza wamepoteza sifaa zaubunge hao ni wezi majambazi
 
Back
Top Bottom