Hakuna upuuzi kama huo. Muungano hautakufa bali tutaangalia matatizo yaliyopo na tutayarekebisha.

Kuna tetesi kuwa kuna maandamano makubwa kuidai Tanganyika hali ambayo inaonekana ni mtikisiko mwengine unaotarajiwa kuikumba Tanzania ,maandamano hayo yatafanyika Tanganyika kote ambako miji mikuu ndio itakuwa kiini
cha maandamano kwa kila mkoa ,wazee wa Tanganyika wenye busara ndio walioamua kutokaa kimya na kuona sasa ni muda muafaka wa kuibua hoja ya G55 iliyozimwa bungeni na mtu mmoja.
Tetesi hizo zimezidi kuonyeshwa kuchukizwa na hali ya nchi inavyoendeshwa bila ya kuwa na dira na maendeleo kutoonekana ,kila uchwao maendeleo yanarudishwa nyuma na kelele kutoka upande wa pili wa Muungano kuwa Muungano sio halali ,muungano unawanyionya muungano umedumaza ,sababu ambazo zinachangia kudumaa kwa Tanganyika na wananchi wake.

Weweeeeeeee, Tanganyika inarudi, Liwalo na Liwe.Tanganyika tulieni zambi isiwakute.
Ningeshiriki Muungano umenichosa kila siku kelele za uamusho tunataka Tanganyika yetu.
Kuendelea na muungano wa namna hii ni hatari kubwa!Hakuna upuuzi kama huo. Muungano hautakufa bali tutaangalia matatizo yaliyopo na tutayarekebisha.
mh. akili zako kama za chadema = fupi