Wana jf, leo nilikuwa nasikiliza RADIO FIVE ya Arusha wananchi wenyewe bila kiongozi wa chama chochote wameazimia kuandamana hadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa tarehe tajwa. Lengo la maandamano hayo ni kudai UMEME. Kwa mujibu wa wananchi walioohojiwa, maandamano hayo hayatahusisha chama chochote ili kuepuka kile kinachoitwa lawama kwa baadhi ya vyama hasa vya upinzani. Maandalizi yanafanyika kwa kutafuta kibali na hata kibali kisipopatikana wataandamana hata damu ikamwagika. Nafikiri ni kusubiri tuone.

Nawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!Sio kwamba wananchi semeni CHADEMA a.k.a Magwanda ndio wanao andaa wananchi kuandamana na kumwaga damu
Kwahiyo CHADEMA na CCM sio miongoni mwa wananchi? nina wasiwasi na uzoefu wako uko nyuma.Sio kwamba wananchi semeni CHADEMA a.k.a Magwanda ndio wanao andaa wananchi kuandamana na kumwaga damu
Vipi mkuu umesharudi kutoka Igunga? nasikia ulikuwa kwenye ile orodha ya waliokodiwa kwa ajili ya kwenda kulia pale kwenye ule mkutano!,...... vipi wenzako waliozimia wameshazinduka?Nawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!
Chadema ni chama cha Vurugu
unapigwa nini.Sio kwamba wananchi semeni CHADEMA a.k.a Magwanda ndio wanao andaa wananchi kuandamana na kumwaga damu
ndugu yangu wewe ni mtanzania tena m1 wa waathirika wa umeme. Huoni sababu ya kuuhitaji umeme? Usiangalie itikadi dai haki yako ya msingi? Maandamano ni njia ya pili baada kwnza ya mijadala na maswali kushindikana! Kwani wewe unajua faida ya hata huo umeme? Ucwe mpuuzi angalia ghali ya nchi yako na ondoa itikadi za chamaNawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!Chadema ni chama cha Vurugu
Sio kwamba wananchi semeni CHADEMA a.k.a Magwanda ndio wanao andaa wananchi kuandamana na kumwaga damu
Nawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!
Chadema ni chama cha Vurugu
Kwahiyo CHADEMA na CCM sio miongoni mwa wananchi? nina wasiwasi na uzoefu wako uko nyuma.