Niulize mimi ni nani ninayetaka kuandamana, raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamaneWewe ni nani unataka Watanzania waandamane?
wewe ni nani unataka watanzania waandamane?
Niulize mimi ni nani ninayetaka kuandamana, raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane
majibu : raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane watanzania kuwandamana , ok ngojea niangalie IP yakoNimeuliza wewe ni nani unaetaka Watanzania waandamame? Sijakuambia wewe usiandamane! Sasa uoni kama unatwanga maji kwenye kinu, watu hawakujui wewe ambae ndio kiongozi wa maandamano unaandika huku umejificha kwenye Laptop. Jitokeze watu wakujue mkuu.