Hapo imekuwa poa kabisa, wajamani jitokezeni kwa wingi sana ili mmalize hasira yenu kwa kuzuiwa maandamano ya katiba .Ni vema hilo likafanyika mkiwa na mabango yenu tena mbele ya Mgeni rasmi mwenye sifa.Hai kumbe Mungu hamtupi mja wake !!!!!!!!!bora wameruhusu hayo maandamano mazuri ya kumkomboa mswahili wa tz na uzembe walionao wakufikiri..