Acha kutukana wakombozi wa nchi hii wewe!Kubwa jinga Lisu anasemaje
Tupe zaidi Lamadi ipo pande zipi.Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Bariadi.Tupe zaidi Lamadi ipo pande zipi.
Okay safi kabisa watu wa Bariadi kwa kuonesha njia tungekuwa kama hawa miamba nchi hii tungefika mbali.Bariadi.
Mama kakusanya wazanzibari wenzake kwenye hizi nafasi nyeti ili kuja kutuletea shida bara...kule kwao Zenji wanaishi kama peponi. Ila yana mwisho...Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hakika.Okay safi kabisa watu wa Bariadi kwa kuonesha njia tungekuwa kama hawa miamba nchi hii tungefika mbali.
SHIDA YAKO NA LISSU INAWEZA TATULIWA NA DAWATI LA JINSIA TU. JF HAITAKUSAIDIA KITU.Kubwa jinga Lisu anasemaje
Inawezekana kabisa awamu hii wameamua kurasimisha jela za siri zenye watesajiTetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Inawezekana kabisa awamu hii wameamua kurasimisha jela za siri zenye watesajiTetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Tetesi zinasema kwamba leo huko lamadi watu wameandamana kutoka na kile kinachodaiwa ya kwamba utekaji uliokithiri umekuwa ni janga kubwa mno.Watu wanapotezwa na watu wasiojulikana na hakuna ripoti ya maana zaidi ya danadana kutoka kwa vyombo vya habari
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Tupe zaidi Lamadi ipo pande zipi.
Umepita asubuhi sisi tumeandamana mchana. Na MTU mmoja kafariki wengine wamejeruhiwa.