nakuunga mkono ms..kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 6Tunajiandaa kufanya maandamamno nchi nzima kwa mara ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Tanzania kuamua kuilinda ardhi yetu kwa vizazi vijavyo
tunafanya hivyo ili wale wanaofikiri kikwete yuko peke yake kwenye hili wapate picha halisi
sisi watanzania bado tunafikiria kama kujiunga na huo umoja wa mafisi au la!
tunaomba tupewe nafasi!
Kikwete mtoto wa Bagamoyo kwa mara ya kwanza tumeona unaipenda nchi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tunajiandaa kufanya maandamamno nchi nzima kwa mara ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Tanzania kuamua kuilinda ardhi yetu kwa vizazi vijavyo

Ninyi ni watu wa ajabu sana. Mnafanya maandamano kuunga mkono serikali uamuzi wa kulinda ardhi yenu wakati serikali hiyo hiyo inagawa ardhi kwa mashirika makubwa ya kilimo cha biashara kutoka nchi za nje kwa visingizio vya uwekezaji? Kama huu si wendawazimu sijui ni nini tena.Tunajiandaa kufanya maandamamno nchi nzima kwa mara ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Tanzania kuamua kuilinda ardhi yetu kwa vizazi vijavyo
tunafanya hivyo ili wale wanaofikiri kikwete yuko peke yake kwenye hili wapate picha halisi
sisi watanzania bado tunafikiria kama kujiunga na huo umoja wa mafisi au la!
tunaomba tupewe nafasi!
Kikwete mtoto wa Bagamoyo kwa mara ya kwanza tumeona unaipenda nchi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tunajiandaa kufanya maandamamno nchi nzima kwa mara ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa serikali ya Tanzania kuamua kuilinda ardhi yetu kwa vizazi vijavyo
tunafanya hivyo ili wale wanaofikiri kikwete yuko peke yake kwenye hili wapate picha halisi
sisi watanzania bado tunafikiria kama kujiunga na huo umoja wa mafisi au la!
tunaomba tupewe nafasi!
Kikwete mtoto wa Bagamoyo kwa mara ya kwanza tumeona unaipenda nchi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wenzangu hamjaona hatari sana iliyofanyika? Yaani wabunge kama sikosei wa 5, wametoa uamuzi mkubwa kama huo. Kwa nini maswala makubwa kama hayo yasijadiliwe bungeni? Au ndo kama kawaida siri???Maana je kama hao wangepata cha juu kama kawaida ya CCM kupokea cha juu si ingekula kwetu? Au hao wabunge hawakupewa cha juu ndo maana hawakutia sahii Maana maamuzi ya kutotia sahii yalikuja jioni sana kutokana na vyanzo vya habari