[/COLOR]]Naona watu kwa upofu au kutokujua kwa makusudi wanachanganya land lease na land owenership. EAC ilikua mambo ya land yaende kwenye ownership ya land, na nchi zote wanachama wangetakiwa kurekebisha sheria zao kuendana na hili. Sheria za Tanzania bado ni land lease. Hizo hectares walizopewa wawekezaji, pale inapobidi, bado Rais(watanzania) ndiye mmiliki wa Ardhi yote ya nchi hii. Rais anaweza kunulify hizo title deeds zao siku yeyote atapoona hazina maslahi kwa nchi. RUBADA walishafanya hivyo kwa wawekezaji kadhaa.
Hata kama tuna chuki naye kwa mambo mengine mengi kwa hili la ARDHI ndani ya EAC, JK is RIGHT, na kama ikibidi HATULIHITAJI hilo shirikisho kama condition yao ni Ownership ya ARDHI yetu.
Hayo Maandamano lini na wapi???