M Mumbo Member Oct 31, 2010 19 0 Nov 7, 2010 #1 Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,987 Nov 7, 2010 #2 Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
mnyikungu JF-Expert Member Jul 26, 2009 1,960 2,464 Nov 7, 2010 #3 Hayo matokea watayakubali wao na wake zao mimi wala!
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 Nov 7, 2010 #4 wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee
wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee