Elections 2010 Maandamano kupinga ushindi wa mkwere rock city!

Mumbo

Member
Oct 31, 2010
19
0
Nawaaminia wana wa Rock city,ni dalili nzuri kwa maandalizi ya 2015.Mkwere ana kazi kwelikweli na mafisadi wenzie!kupingwa hadharani?????Big up Rais wangu DR.SLAA!Wamekubania mwaka huu,subiri 2015.Habari zaidi,bofya Ghasia Mwanza zapatiwa dawa
 
Kwa Mza, thithiemu watafanya kazi ya ziada sana. Hatutaki utani wa kijinga na kudanganywa na mafisadi!
 
wasifanye maandamano? Yatafanyika hata ndani ya mioyo yetu . Maandamano is just gesture . Actiom bado mazee
 
Back
Top Bottom