Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 56
Sitetei kitu hapa na unanishangaza unaposema natetea..ndio maana nimekuuliza natetea yepi..huenda umenifananisha.
Nilichosema ni kuwa mdau ametoa hoja zake kuhusu maandamano ya watu wasoridhishwa na utawala ..na wewe ukarukia kuanza kuleta mambo ambayo ni out of context..
That's why I told you hujui unachokitetea na bado pia hujui unachokiongea.
Haya endelea sido i'm not here kufanya hizi cheap arguments
Kwaheriii
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Mkuu Kaniki,
Hili tumeliongea siku nyingi sana. Mimi mwenyewe niliwahi kusema kuhusu suala la Mengi kuwataja mapapa kwamba kwa nini asingeamua kusimama tu pale Mnazi Mmoja ili tumpe shavu na kumaliza kazi? Tatizo ninaloliona ni kuwa tumekosa Rajolina wetu. Siku tukimpata tu, hii kazi itachukua sekunde. Wote tumechoka sana ila tunategeana ili tuone nani atamfunga paka kengele. Kama yupo humu ndani basi ajitokeze na aseme wazi tu ili tumpe support.
Maandamano ya nini wakati uchaguzi mwakani??? Kama watu kweli hatumtaki ni kumpigia kura ya hapana mwakani. Maandamano yetu uchaguzi 2010 na mabangi yetu ni kura. Cha kufanya ni kuhamasisha watu wote waliochoka na utawala wake wasimpigie kura tena mwakani.
Pundamilia anaweza kuwa alishinda kwenye viti virefu jana
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK ....................
KANIKI,
Ninyi msioridhishwa na utawala wa Kikwete mkimaliza kuandamana na sisi tunaomkubali, tutaandamana pia.
Haya anzeni.
Kizazi hiki hatapata kutokea
Ndugu yangu umeelewa hoja ya Kaniki lakini? Naona kama umeingia choo cha jinsia isiyo yako mkuu!
Hivi huoni kuwa wewe ndiyo unaongea tu na hufanyi vitendo?
ulitakiwa uje hapa na ushahidi kuwa umeandamana kupinga utawala wa JK, don't waste your time kwa kubishana hapa kwenye forum, nenda ukaombe kibali kwa Kova haraka tu.
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
NEXT LEVEL,
Embu nionyeshe muelekeo nimeuacha wapi?
Naona kama hutaki kupanua mawazo yako usomapo mada.Tafadhali pepesa macho.
Zebra kwanini umshambulie jamaa kwani umelazimishwa kuchangia hoja au ni lazima uwepo kwenye hayo maandamo? IN CAPS, MIMI PIA NAPINGA UTAWALA WA KISANII WA JK NA NIMECHOKA KULIKO MAELEZO HII NCHI C YAKE NA MAFISADI BALI YA WATZ WOTE. IKIBIDI HATA KUCHANGIA HAYO MAANDAMANO NITACHANGIA KWA HALI NA MALI.
Angalia hapo juu kwenye blue & bold........! Wewe hupo kwenye kundi hilo mkuu....ulichokisema wewe ungeweza kukianzishia thread yake......! thread hii ni kwa wale wasioridhishwa na utawala wa JK ndio mkuu Kaniki anaomba maoni yao!
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
Yap mkuu tuko pamoja. Hili suala ni muhimu kufanyika na tena lingefanyika kabla ya uchaguzi lingeleta picha halisi na mwelekeo wa uchaguzi mwakani.
Achana na PUNDA- MILIA. muda wote punda ni kubebeshwa mizigo (mtumwa mpaka kufa)
sawasawa mkuu kanyaga twende
Bobby,
Swala siyo kumshambulia, ni mtazamo wangu juu ya maoni yake na hili ndiyo inavyotakiwa kwamba kama ninamtazamo tofauti niuleleze na yeye awe mvumilivu wa kupokea mawazo tofauti.
Kwa mfano kabla sijafyatua hiyo reply aliniambia kuwa mimi ni mtu wa maneno matupu, sasa unategemea jibu langu lingekuwa tofauti na nilivyomjibu?
Kama yeye ni arm chair general aendelee kuwa hivyo vinginevyo aende akaombe kibali kwa Kova aandamane ili aweze kutii kiu yake.
Kama alianzisha hii thread kwa kupata mawazo yaliyo sawa basi hakuwa sahihi.