Maandamano kesho kutwa..................!!!

Maandamano kesho kutwa..................!!!

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
Kwa uzoefu wangu Watanzania hatukawii kusahau na kuchukulia jambo kuwa NI KAZI YA MUNGU. baada wa SUMATRA kupandisha nauli najua keshokutwa sisi tunaotumia usafiri wa daladala wengi wetu hiyo siku ya kwanza na yapili huenda na ya tatu , tutajifanya kususia usafiri huo na kuunga mkono azimio la Arusha tukijifanya kuonyesha hasira juu ya jambo hilo. lakini baada ya siku nne hivi KIMYAAAAAAA NA WOTE TUNAGOMBANIA USAFIRI TENA PENGINE KUPITIA DIRISHANI.
 
Hapa unataka tujadili jambo gani?
 
Kwani kuna tatizo ....? Wewe Vipi?unipe
 
Bila shaka utakuwa unamaani "yako wapi maisha bora kwa kila mtz? "kwa ufupi tz ni sawa na watu waliyomo ndani ya ukumbi wa disco, kila unapopigwa muziki mkali na DJ ,wachezaji husahau na kufuta wimbo wa zamani.mean's mpaka disco linaisha wachezaji huwa wapo hoi na faida ya kuwa hoi haipo!!
 
we nawe mwenzako hapo hajielewi baada ya kuambiwa nauli buku jii
msamehe tu

mmh...na kweli maana maelezo yote ni kama anamtumia mshikaji wake SMS.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom