Kweli haina haki! Unajiuliza kwanini Lisu alipigwa risasi? Kwanini wanampokonya ubunge wake baada ya kumpiga risasi? "Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia. (hapo Bukililo hupataki"Dunia haina haki
Kwa niniAyatollah aache bange
anatumia ndevu zake kuitisha marekaniKwa nini
Je na yeye anajua maeneo waliyoyatarget Iran pia?Trump mwanaharamu anawaambia mkilipiza kisasi tu napiga maeneo 52 sawa na idadi ya wamarekani 52 waliotekwa miaka ile 1970 mwishoni.
Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia.
Dunia haina haki hii, wakati wairan wanaomboleza bwana mkubwa anakula likizo ya mwaka mpya akicheza gofu na viongozi wengine wasaidizi wake.
Kama hata hilo tu linakushinda kujua utaweza kujadili lolote humu wewe limbukeni unayeendeshwa na mihemko kila kukicha?Wanaandamania nini hao wairan?
Yeye ni amiri jeshi mkuu, anatoa maelekezo baada ya kupewa taarifa za kiinteligensia.Je na yeye anajua maeneo waliyoyatarget Iran pia?
Lissu cha mtoto kulinganisha huyo mwanajeshi aliyeuwawa na wamarekani, Lissu anafanya ukibaraka kwa mabeberu wakati huyo Suleimani alikuwa anawauwa hao mabeberu.Kweli haina haki! Unajiuliza kwanini Lisu alipigwa risasi? Kwanini wanampokonya ubunge wake baada ya kumpiga risasi? "Ukisikia ubabe ndio huu, mtu anakuja nyumbani kwako anaua mtoto wako halafu anakutangazia ubabe kwamba ukilipiza kisasi naua wote waliobakia. (hapo Bukililo hupataki"
Siku zote kama hujui adui yako kajipangaje ni bora kupiga kimya,mkwala siku zote hua ni dalili ya woga na kutokujiamini.Yeye ni amiri jeshi mkuu, anatoa maelekezo baada ya kupewa taarifa za kiinteligensia.
Iran wamzike kamanda wao wakae chini watafakari kama ugaidi unalipa au haulipi?Je na yeye anajua maeneo waliyoyatarget Iran pia?
Trump hana mikwara anafanya kweli, na kawaambia wakilipiza kisasi mapigo yatakuwa makubwa zaidi.Siku zote kama hujui adui yako kajipangaje ni bora kupiga kimya,mkwala siku zote hua ni dalili ya woga na kutokujiamini.
wanaweweseka hawaamini kama kamanda waliekuwa wanamuabudu kapigwa na drone 🤣Wanaandamania nini hao wairan?
Je na yeye anajua maeneo waliyoyatarget Iran pia?
kutetea nchi yake ni bange siyoKwa nini