magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
Wadau wawe wanashirikishwa ktk maamizi ili kuepuka haya.
CCM oyeeeeeeee!
Yaaani hao nduguzangu wenyeji wa huko dodoma huwa wanaridhika kwa vitu vidogo sana ukiwapikia pilau tu! Basi umeshawafanya mazuzu#
Huko ndo kule utakokuta kuanzia mwenyekiti wa kijiji,balozi,diwani na mbunge wao wote ni CCM alafu kila siku wanalalama!
Acheni kuwa watumwa wa CCM wajibisheni viongozi wenu kwa kuchagua watu wengine vinginevyo mkubali matokeo yake.
CCM oyeeeeeeee!
Yaaani hao nduguzangu wenyeji wa huko dodoma huwa wanaridhika kwa vitu vidogo sana ukiwapikia pilau tu! Basi umeshawafanya mazuzu#