Inasemekana walimsomea dua apate kufa
Sasa sijui hizo ni dua za namna gani au ulozi?!
Hapo Ndiyo huwa nachokaga kabisa na imani za watu fulani.
Kwani yeye kwa kuyasema hayo ndio kusema na Maandiko kwenye kitabu yanabadilika gafla?
Yani nawasikiaga wengine wanaongea wazi kabisa Yani kuua kwao siyo ishu wasema watatubu tu
Wanasema hata mtu kama Nabii Tito angekuwa wa kwao au ndugu yao wangeshamdunga hata sindano ya sumu afe
Sasa mimi huwa nawauliza Kwani nyie hamna dhambi?
Mbona nyie wengine wachawi mnaua watu na kuharibu maisha ya watu wengine?
Mbona nyie mmejaa fitina?
Je mnaamini Mungu anaweza kuua mtu? Wanasema ndiyo.
Sasa kwanini msimwachie Mungu aanayehemu watu wake afanye apendavyo?
Kwanini mnamsaidia Mungu?
Kuna watu ukiishi nao handle with care .