Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,861
Naikumbuka vizuri sana hili tukio; ukweli sidhani kama shida ilikua ni tamko la mama Sophia Kawawa, ukweli Wazanzibar waliitumia tu hiyo kauri kufanya maandamano ambayo yalikuwepo mioyoni mwao even kabla ya kauri ya Sophia, kauri ya Sophia ili trigger tu kilichokua ndani ya mioyo ya wale Wazanzibar; hujiulizi ni kwanini Waislamu wa Dar, Songea kwao na Sophia au sehemu zingine za pwani kama Tanga, Bagamoyo hawakuandamana? Maanake kwa maneno yako ni kwamba hasira zilichochoewa na kauri hiyo na Wazanzibari hawa (sisemi waislamu ) kuandamana, issue ni Qu ran na kitabu hicho ni cha Waislamu wote (akiwepo Sophia mwenyewe ) why only Zanzibaries and not all Islams in the country???? Ni jipu lililokua bado bichi la maandamano ya mwaka 1984, only 4 years before this.