Maandamano Chuo Mlimani

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
10
Kwa habari nlizopata usiku huu kutoka kwa mwanafunzi.Chuo Mlimani kitakuwa na Maandamano kama Egypt kuimiza serikali iwaongee mkopo kwa ajili ya matumizi
 
si tetesi ndugu mwanajf,bt ni ishu ya kweli wanafunzi wanamadai yao mengi na ya muda mrefu wanademand mkopo uongezwe,kwani kwa muda huu wanapokea sh 5000 kwa mtu wa kawaida ataona ni too much bt my friends mie nimemaliza mwaka 2010 pale udsm nimeona truly hyo amount haitoshi isitoshe vitu vimepanda be na hata wauzaji vyakula wamepandisha ,sasa watafanyaje kama si kugoma?lets them do...revolutiooooon ,for changes(Was our slogan during mgoMo)
 
Madai ya ongezeko la pesa za kujikimu sio ya udsm peke yake bali ni vyuo vyote vya umma na vya binafsi. Nadhani ingekua jambo la msingi sana kama DARUSO wangewashirikisha viongozi wa vyuo vingine ili ku organize a nationalwide move hii ingekua bora zaidi otherwise itaku rahisi kwa serikali ku turn down their move.
 
Tanzania Tanzania,nakupenda kwa moyo wote......wazee hapa UDSM sasa yanalia mabomu tuwakati huo naona watoto wa shule ya msingi wanakatiza hapa wakishuhudia hayo,hivi kesho hawa watoto watakuaje?
 
A rise in income will not meet your wants.

You should try to minimize your expenses and live accordingly.

Mbona watumishi wa umma wanalipwa 300,000 kwa mwezi na inawatosha wao na familia zao?
You should consult them wawape siri ya uvumilivu
 
Poleni sana vijana wangu wa Mlimani, Hii ndo kasumba ya viongozi wetu

wa afrika kuwakandamiza na hata kuwaua wadai haki.

Mmeonyesha ujasiri mkubwa sana vijana wangu! Yawezekana msifaidi

matunda ya damu yenu kwa leo ila vizazi vijavyo vya watanzania wenzenu

vitawkumbuka kwa kuta na misingi imara ya haki itakayojengwa kwa kutumia

damu zenu leo hii
.

" Nibora kuuawa kwa kupinga utumwa kuliko kukubali kuishi katika hali ya utumwa"
 
@sita sita,uhondo wa ngoma ingia ucheze na si unaongea bila evidences,okey kwa mfano ulio hai mie nimemaliza udsm mwaka jana 2010,na c siri bodi ya mikopo na mikopo kwa ujumla imekuwa chanzo cha all problems,unajua kwa cku wanapewa tsh 5000 in actuality mambo c unavyofikiria ,kumbuka ktk hyo hela hamna hela ya matibabu hawajaweka,je ukiumwa unywe mitishamba au ?they are right and they nid are sounding
 
Tanzania Tanzania,nakupenda kwa moyo wote......wazee hapa UDSM sasa yanalia mabomu tuwakati huo naona watoto wa shule ya msingi wanakatiza hapa wakishuhudia hayo,hivi kesho hawa watoto watakuaje?

Mbona hii nchi hawjifunzi, sasa mabom yanini tena?
Hawa wangewaacha wafikishe sauti yao wanapotaka.
Mabomu inaonyesha weakness kubwa. si wawasindikize kwa upole hadi ikulu?
 
Je watu wakiamua kuandamana wote na kulala barabarani kuanzia posta mpaka kimara, mpaka mbezi beach, watapitisha wapi hayo magari ya maji kuwasha na ya mabomu au watatumia ndege? je wanayo hiyo ndege? Saa nyingine watawala wafikirie sana maana iko siku watu wata data wenyewe! yakumbukwa mapinduzi ya zanzibar wala hayakuwa na maandamano na haykuwa na upingamizi, jamaa wameamua tu kusema imetosha jamaa wakaanza! kila siku tunayasifu na yapo kwenye historia! je watu hawajui kwamba..."what goes around comes around?" inabidi watawala wetu waamke maana wa TZ ni wengi mno kuliko polisi na wanajeshi waliopo. Ni wengi pia kuliko hata risasi zilizopo na hata vifaru na vifaa vingine vy kivita havitauweza umma wa waTZ wakiamua kusema yatosha!!!! Ukiona mwenzio ananyolewa wewe weka maji. Tunisia, Misri, Yemen, hawajamtukana Mungu! Tuliombee Taifa letu tupite kwenye mageuzi kwa amani, tunahitaji mageuzi ya kiuchumi yenye kuleta tija kwa waTZ wote na sio kwa wachache! Uchumi wa nchi hii yamkini umeshikiliwa na karibu asilimia 10 ya wananchi na wengi wao, wanakoo zao huko nje ya TZ. Hii si kitu ya kujivunia hata kidogo!!!!
 
Poleni ndugu zangu wa UDSM. Hata mimi nilipita hapo pia na nilishapigwa mabomu. Mabadiliko yanaanzia kwa kikundi kidogo. Mlichokianzisha, watawala watakaa na kufikiria kuwa kuna mantiki katika hayo mnayoyadai.
 
unajua maji ya kuwasha, mabomu ya machozi, vifaru, kuna wakati havina maana, labda farasi
 
niwakati wa watawala kusoma alama za nyakati na sio kutumia mabomu ya machozi kwani yatazidi kupandisha hasira za wananchi zaidi pale wanapoamua kudai haki zao kwa amani na kufanyiwa unyama kesho taifa zima likiamua kuandamana wanayo mabomu ya kutosha kuwaliza watanzania wote?
 
Je watu wakiamua kuandamana wote na kulala barabarani kuanzia posta mpaka kimara, mpaka mbezi beach, watapitisha wapi hayo magari ya maji kuwasha na ya mabomu au watatumia ndege?

Hehe, unacheza?
Watapitisha vifaru juu yao...
Ila hawa ipo siku watakumbuka shuka ilhali kumepambazuka....
Na watalia na kusaga meno....
 
A rise in income will not meet your wants.

You should try to minimize your expenses and live accordingly.

Mbona watumishi wa umma wanalipwa 300,000 kwa mwezi na inawatosha wao na familia zao?
You should consult them wawape siri ya uvumilivu

Wakuu msikimbilie tu kuona haja ya kuongezewa hela.... someni pia wazo hili hapa juu!!!!
 
@babulao,wazo gani hlo,kumbe jamaa wanaramba laki 3 kwa mwezi,sasa wanachuo wanapata 5000 per day multiply by siku 120 za masomo unapata kama 600,000 kwa miezi 4 wkt wa serikali ana ngapi?kama c milioni na laki mbili,wakati kwa wanachuo milioni na laki 2 ni hela yao yote ya mwaka mzima wa masomo,labda sitasita wapangie budget hawa vijana tuone,nawasilisha kwako bwana babulao upo?
 
si wawasindikize kwa upole hadi ikulu?

wasubiri pale ikulu ikulu akiwa akiwa anakaa mcheza madisko mwenzao, labda 2015 lakini kwa sasa anakaa mtu aliyekabidhiwa majukumu ya kuliongoza taifa hili maskini si taifa la mito ya asali na maziwa.
 
Back
Top Bottom