Maandamano barabara ya Kawawa

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,947
Reaction score
2,033
Wadau kuna maandamano kupinga kile kinachoendelea Mashariki ya kati.

Wapalestina wa hapa Dar na jamaa zao wametanda barabarani wakielekea njia kama unaenda Magomeni ukitokea hapa Ilala Boma,maandamano haya ni ya amani.

Nimesikia mtoto akiimba mashairi ya kuelezea jamii ya Kipalestina ilivyo mashakani.
 

wslivyohojiwa jana na media walisema maandamano yao hayausiani na gaza wao wanaadhimisha siku yao inaitwa, sorry nimisahau jina
 
Wangekua na akili wangeandamana kupinga kitendo cha hamas kuwateka na hatimaye kuua wale watoto watatu wa kiisraeli hayo mauwaji yote yasingetokea. Ni majuha tu hao. Keep it up israel! Ur the eyes of God!
 
Wangekua na akili, wangeandamana kupinga Boko Haram kuteka wasichana, kupinga Al Shabab kufanya ugaidi kule Somalia na Kenya, Kupinga ISIS kufanya mauaji kule Iraq na Syria, kupinga Al Qaeda kufanya na kufadhili ugaidi duniani..... Mengine utaongezea!
 
Hili nalo neno.

 

mimi nawapinga israel kwa kumtandika kisawasawa mungu na kumtundika pale +
 

kuuwa watoto na kuteka ipi mbaya
 
isaeri wanauwa watoto badala ya kupigana na jeshi la mgambo hamasi dalili ya kushindwa?
 

Hili nalo neno.

And Jesus said, by their fruits ye shall know them!
 
Mkuu Wimana Amante unajua wakati mwingine najikuta nauchukia uafrika wangu temezidi kutumika vibaya utadhani sisi matoilet paper.Ukitazama takwimu waafrika walio kusini mwa jangwa la sahara ni masikini sana sijawahi kuona mataifa ya kiarabu yenye utajiri mkubwa wa mafuta yakisaidia nchi masikini za Afrika badala yake zinatumia utajiri wao kuharibu amani na kutulazimisha kuunga mkono matakwa yao katika uwanja wa diplomasia ya kimataifa.

Ebu jilulize ni kwanini wale mabinti wa kiNigeria waliotekwa na kundi la kigaidi la Boko Haram hawakujigusa,hawakutoa tamko,hawakuandamana ?.Ni kwanini Al shabab inaua wananchi wa Kenya kila siku lakini sijasikia tamko wala nini !.Wapalestine wanastahili kichapo kwakuwa wao ndio walianza uchokozi wa kurusha maroketi.


And Jesus said, by their fruits ye shall know them!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…