Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 957
- 645
Wangese tu hao, na ndio utaona unafiki wa Tanzania. Andamano kama kawa.. nipo na wanangu tunapiga zoezi na kupeana codeWatibeli wamesema hakuna maandamano😁
Ulikuwepo ACHA urongo bwana@MariaSTsehai /X
Hivi @ccm_tanzania akili gani hizi?
Mara mnawapa supu ya bure vijana
Watumishi wa umma mmewakipa 120,000
Atakayeenda kutiki na kujichafua na jamii achukiwe kwa pesa ndogo hivi au supu wakati wao na watoto wao wana ma GWagon na Bugatti apimwe akili!
Kwa sasa ni mwendo wa #OktobaTunatoka
View attachment 3493276View attachment 3493277
bado sku 4WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA
Pamoja tusonge mbele
View attachment 3493193
View attachment 3493194
#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍