M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,263
- 19,581
Exactly, inevitable aftermath. Hiyo hutokea hata nchi za dunia ya kwanza.hahahahaha kwa hyo wataka kusema hasira za vijana zimewafanya wavunje maduka na kubeba had nguo na viatu
Repercussions, unavoidable repercussions. First things first, mbona watekaji na wauaji mnataka kufanya wao ni wema sana au hizo biashara zina thamani zaidi ya uhai wa binadamu?kwahiyo kila mwenye hasira ameruhusika kufanya anachojiskia?
Repercussions, unavoidable repercussions. First things first, mbona watekaji na wauaji mnataka kufanya wao ni wema sana au hizo biashara zina thamani zaidi ya uhai wa binadamu?
As far as the realities are it's you reap what you sow, ukipanda bangi tegemea kuvuna bangi.
Pale unapooba kuuwa ndio silaha mliyobakiza, iko siku nanyi mtafikiwa na unyama huo na nitaomba msife haraka mtaabike sana wewe na ukoo wako wote, na pengine msufe mpate vilema vya kudumu ili muwe mnaona kuteka, kuumiza, kunyanyasa na hata kuua wenzenu siyo suluhu.Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Zina mahusiano makubwa mno unless if you're too stupid to see it, kama umeangalia mostly ilikuwa ni pattern ya either biashara za mafisadi, beneficiaries wa ufisadi, partners wa mafisadi(sharing investments) au chawa wa mafisadi hivyo basi uhusiano ulikuwa usio na shaka and the coming wave will be more intense.ni wapi mimi nimesema watekaji na wauwaji ni wema? biashara za watu zina mahusiano gani na maandamano? Nyie jamaa vibaka wakubwa
ila hayo yanakua sio maandamano ya aman.Exactly, inevitable aftermath. Hiyo hutokea hata nchi za dunia ya kwanza.
THE WRATH OF THE OPPRESSED, hayo huwa ndiyo majibu yake. Take it or leave it.
THE WRATH OF THE OPPRESSED, you stop the oppression na hakutakuwa na riots.ila hayo yanakua sio maandamano ya aman.
Umeangalia maandamano ya france, maandamano ya 2011 egypt. Literaly kila maandamano yana somekind of uharibifuTuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
hapana.. Hapo unasimma utu tu. Ukiua unaonekana hauna utu ndo maana inaonekana ni kubwa kwan moyo pia hauna spareHapana kuuwa ni dhambi kubwa zaidi.