Maandalizi ya sikukuu Christmass 2018

Chemsha mchele wako vizuri kisha uepue na kuufunika hadi upoe.

Andaa kuku wako na umkate kate vipande (usisahau kumchinja) baada ya hapo pika kuku wako na hakikisha supu inakuwa kidogo kuliko nyama.

Katakata vitunguu maji gram 600 na kisha visage na kuvianika juani kwa dakika 30, chukua tangawizi na vitunguu swaumu ukatekate kwenye wali ule uliokuwa unapoa, hakikisha umechanganya vitunguu vyako na wali vizuri.

Baada ya hapo chukua wali mimina ndani ya sufuria ya nyama, weka chumvi kijiko kimoja.

Andaa chakula tayari kwa kuliwa (Usisahau kuweka vile vitunguu ulivyoanika juani).

Goodluck!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom