Maandalizi ya kuchomwa moto.

Kafanya nini tena maskini mzee wa watu...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
I don't like this they call it mob justice

Hii ni beyond mob justice, Hii ni JUNGLE JUSTICE. Utu hakuna kabisa siku hizi watu wanaishi kama wanyama. Mungu zisamehe roho zao kwakuwa hawajui walitendalo.
 
Amekosa nini mtu huyu mzee hata akapewa adhabu ya kifo cha moto?

Kisa na mkasa alimuibia mtu mtaani wezake aliokuwa nao wakafanikiwa kukimbia wananchi wenye asila kali wakamdaka yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…