englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Haahhaaha mie nimekula leo huo hata eid sisubiri ifike
Yani hata kama ungekula masaa yote na kila siku...Siku ya sikukuu chakula kama hicho kina raha yake bana..
Mishemishe zishaanza..Hebu ngoja nikapike visheti!!@Farkhina nataka maamri!!
natembe na ndizi mfukoni