maandalizi ya eid

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
msosi tari nimeuwekwa kwa fridge nikisubiria mwezi uandame

wali miguu ya kuku.jpg

kama vipi nimedownloard mwezi mwandamo na nasherekea leo waskaji kaburini wote

pilau.jpg
 
Kamuone daktari.....kama unapeleka pwani bakuli lote hili na unabaki ulivyo?!!!!
 
Bakuli lote kitoweo viguu vya kuku....mmmh bora niendelee na mfungo au ni ninywe maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom