hata mimi siamini kama mtu wa kwanza aliishi tanzania hilo litakuwa fuvu la sokwe tu,we nenda leo huko olduvai hakuna hata binadamu wanaishi nina uhakika miaka 2000 iliyopita tanzania hakukuwa na binadamu yeyote ilikuwa mapori tu,kama mpaka leo tanzania 85 percent ni mapori pata picha miaka 2000 iliyopita