Maandalizi ya CHINA Kufuta Historia ya OLDUVAI GORGE ulimwenguni

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
2,000
42720B03-9849-44DB-8892BFA7A69DF064.jpg

Mwaka 1929 nje kidogo ya mji wa beijing kwenye mapango ya milima kuligunduliwa fuvu na mifupa ambayo inasadikika kuwa ya binadamu wa kwanza. Kila mwaka sehemu hii hutembelewa na watalii zaidi ya 150,000. Researchers wa kichina wanafanya juu chini kuhakikisha wanatafuta kigezo ili ionekane mtu wa kwanza aliishi china.

SIASA ILIYOJIFICHA NYUMA YA MIFUPA HIYO
Wachina wengi hawaamini kuwa mtu wa kwanza alikuwa afrika kwa mujibu wa historia tena Arusha. Wanataka kila kitu kitoke china.Utafiti wa kisayansi unaonyesha karibu asilimia 97 ya Vinasaba vyao orgin yake in afrika.

Kumeibuka vuguvugu kubwa asia kuanza kufukua mifupa na mafuvu ili tu angalau ijulikane mtu wa kwanza aliishi Asia hata kama sio china. Archeologist wetu wanayo nafasi ya kuilinda na kuitetea hiyo tunu Adimu kabisa Ulimwenguni iliyopo Olduvai Gorge kabla jamaa hawajafanya mapinduzi ya kitalii.
 
Zikomo Songea

JF-Expert Member
May 15, 2016
669
1,000
Uzuri ni kuwa archaeology ya leo si ile ya miaka ya 1950 na kurudi nyuma. Mambo mengi yamebadilika sana na racism haina nafasi tena kwa sasa. Kwa hiyo ukweli utaendelea kusimama mpaka hapo tafiti mpya zitakapofanyika na kuthibitisha vinginevyo.
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
8,439
2,000
hata mimi siamini kama mtu wa kwanza aliishi tanzania hilo litakuwa fuvu la sokwe tu,we nenda leo huko olduvai hakuna hata binadamu wanaishi nina uhakika miaka 2000 iliyopita tanzania hakukuwa na binadamu yeyote ilikuwa mapori tu,kama mpaka leo tanzania 85 percent ni mapori pata picha miaka 2000 iliyopita
 
hahaha
 
optico

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
265
500
Haina haja, Olduvai tupo nayo miaka yote ila haijatusaidia, acha wachina wanaojua kutumia raslimali wajitangaze watumie
 
medicine

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
217
250
kuna mahala nilisoma kuhusu human race origins inaeleza kuwa eti mtu wa kwanza kuishi china alikuwa Black man sijui hii nayo inaweza kuwa ni process yakuelekea kwenye madai ya hiyo inshu ya oldvai
 
MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
2,000
kuna mahala nilisoma kuhusu human race origins inaeleza kuwa eti mtu wa kwanza kuishi china alikuwa Black man sijui hii nayo inaweza kuwa ni process yakuelekea kwenye madai ya hiyo inshu ya oldvai
ukweli uliopo hadi sasa, mtu wa kwanza china inasemekana alitokea afrika. Wakipima baadhi ya watu wa huko wana vinasaba sawa na wafrika. Ingawa mimi naamini katika CREATION sio EVOLUTION yaani Mtu wa kwanza aliumbwa eden Bustani ambayo kwa ilikuwa karibu na mto Euphrates Maeneo ya Iraq ya leo
 
zinginary

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
2,460

Inawezakana.ADAM alifia arusha

Kukutwa kwa.fuvu haimaanishi kuwa aliishi pale

Sasa china.wakomae kusaka fuvu la.eva/hawa

Ah ah ah ah iman nazo
 
mwananthropolojia

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
956
225
ukweli uliopo hadi sasa, mtu wa kwanza china inasemekana alitokea afrika. Wakipima baadhi ya watu wa huko wana vinasaba sawa na wafrika. Ingawa mimi naamini katika CREATION sio EVOLUTION yaani Mtu wa kwanza aliumbwa eden Bustani ambayo kwa ilikuwa karibu na mto Euphrates Maeneo ya Iraq ya leo

Bustani ya eden haikuwepo Iraq huo ni uhuni Wa wazungu tu.katika Maelezo ya vitabu tunaambiwa bustani ya eden ilikuwa imezungukwa na mito 4. Pishon palipokuwa na dhahabu, havila(ni jina la kiafrika), kush (nadhani unafahamu wakushi) wanatokea wapi) na tigris(hapo ndio wanpotaka kutuchanganya sisi ili tusione ukweli kwa kuweka mto mmoja irrelevant)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom